Chato: Kituo cha Polisi Muganza chachomwa moto na wananchi kupinga mauaji ya mtuhumiwa anayedaiwa kusababibishiwa kifo na Polisi

Chato: Kituo cha Polisi Muganza chachomwa moto na wananchi kupinga mauaji ya mtuhumiwa anayedaiwa kusababibishiwa kifo na Polisi

Polisi walitakiwa wajiletee heshima,hivi kweli raia wanachoma kituo cha polisi,mnawaona?
Itafika mahali wataingia aachukue silaha kwenye ghala,endapo hatua hazichukuliwi.
Wamechoma kituo,inabidi wakae bila askari kwa miaka kadhaa,waone endapo askari wana umuhimu au la.
 
Sioni umuhimu wa hao watesaji. Nenda kituo cha Police kama umeibiwa. Watakutoa fedha za kufanya upelelezi wa tukio mpaka utakoma kwa usumbufu. Uliyeibiwa utakuwa kama mwizi sasa
 
Kwa hiyo ulitaka Polisi waue maelfu ya watu? Thamani ya maisha na kituo Cha polisi kipi muhimu?

Kinahitaji kujengwa sehemu salama mbali kidogo na makazi ya watu ili kudhibiti matukio
 
.....kwanza polisi walioua is mahabusu wakamatwe....waliochoma kituo watafutwe hapo kuna hearsay kibao watakamatwa wengi saa hizi wako 590km away mbio sana ......no tukio baya na kulaaniwa
 
IGP wa sasa sijajua anasubiri nini kumuonda RPC Mkoa wa Geita kaxini kupisha uchunguzi?

Mama Samia naye kapiga kimya kuhusu hili tukio na anataka kura kutokea kanda ya ziwa mwaka 2025
Wamechoma tena?
 
Geita tena?

Kule wanachinjana kwa mapanga waache kuchoma kituo cha police kwa tukio la mwenzao kuuwawa na police na labda kwa uonevu?
 
Kabla hatujakamata waliochoma moto kituo tunatakiwa kujua chanzo ni nn hasa cha kuchoma kituo moto???
 
Back
Top Bottom