Chato kumenoga, NHC yatangaza kuuza viwanja 1,200 pembeni mwa ziwa Viktoria. Panafikika kwa usafiri wa anga, majini na ardhini

Unajuwa mimi tatizo langu jina 'CHATO' unajuwa wakati mwingine jina lina reflect mtu ukiwa tajiwa msichana mfano jina Maria basi unajuwa tu mhh huyu kama mlokole ila ukisikia jina Lulu unajuwa hapa kitu hata kama sio kweli. Chato badilisheni jina...
poor mentality
 
Kipindi hicho Cha ukamilishaji sukari itakua haishikiki kwa utamu
 
Chato ni mji wa kufikia marais.
 
Viwanja vya karibu na ziwa Victoria kama bei ni hiyo lazima mwaka huu tukaanzishe Chato Yatch Club na Karakana ya kutengenezea boti.
 
Karibuni sana huku kwetu Chato ya kijani.
 
Chato ni nyumbani kwa mh Rais.
Lakini Hato
Hakuna biashara
Hakuna kivutio cha uwekezaji
Hakuna malighafi zinazojulikana
Its an end destination hivyo kwenda kule uwe na sababu maalum.
I
 
wala sio poor mentality, azam anauza bidhaa kwa jina wala sio lazima ubora unga huo huo wa Azam ukiweka jina lingine mtu anaweza kusema mbona unga mbaya. Jina lina matter sana tu
Sasa unafikiri ni jina ndio lilijikuza lenyewe kutokana na uzuri wa jina hilo, au huduma bora na bidhaa zilizokidhi viwango na ubora ndivyo vilivyofanya jina la azam kuwa brand kubwa na trusted.

Ndiyo maana mzee wetu anataka kuijenga Chato ivutie ili jina la Chato lisikike kokote duniani na kila mmoja wetu atamani kufika pale. Watu hawaendi sehemu kwasababu ya uzuri wa jina ila wanafata content tu.
 
Baada ya kuamia Dodoma 2015-2020 sasa tunahamia chato 2020-2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…