Chato kumenoga, NHC yatangaza kuuza viwanja 1,200 pembeni mwa ziwa Viktoria. Panafikika kwa usafiri wa anga, majini na ardhini

Chato kumenoga, NHC yatangaza kuuza viwanja 1,200 pembeni mwa ziwa Viktoria. Panafikika kwa usafiri wa anga, majini na ardhini

Unajuwa mimi tatizo langu jina 'CHATO' unajuwa wakati mwingine jina lina reflect mtu ukiwa tajiwa msichana mfano jina Maria basi unajuwa tu mhh huyu kama mlokole ila ukisikia jina Lulu unajuwa hapa kitu hata kama sio kweli. Chato badilisheni jina...
poor mentality
 
Nahamia Chato. Kumenoga
IMG-20210112-WA0015.jpg
 
Tutapeleka na wanawake wazuri huko machotara ya Zanzibar, yakazaliane huko kuupendezesha mji.

Kama huna taarifa ile Hospitali ya Chato ni Zonal Level Kama unavoona Bugando au Mloganzila.

Ukomo wetu wa kuongoza sio miaka 5.

Utaratibu upo hivi; Miaka 5 ya mwanzo ni kipindi cha kujifunza na kupanga. Miaka mitano ya pili ni IMPLEMENTATION ya kile kilichopangwa miaka 5 ya mwanzo.

Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ku wrap up yaani kuhitimisha implementation . Ni kipindi cha UKAMILISHAJI. Yaani Ni kipindi cha kukamilisha uumbaji wa nchi.
Kipindi hicho Cha ukamilishaji sukari itakua haishikiki kwa utamu
 
Chato ni mji wa kufikia marais.
Chato - Burigi National Park,
Chato Airport,
Chato International Stadium (Coming soon),
Chato Mataa,
Hospitali ya Rufaa ya Chato,
Bandari ya Nyamirembe Chato,
TRA Chato;
Chuo Cha Ufundi Stadi - Chato
.
.
Kwa hisani ya watu wa CHATO!!
.
.
Mtapapenda tu
 
Viwanja vya karibu na ziwa Victoria kama bei ni hiyo lazima mwaka huu tukaanzishe Chato Yatch Club na Karakana ya kutengenezea boti.
 
Chato ni nyumbani kwa mh Rais.
Lakini Hato
Hakuna biashara
Hakuna kivutio cha uwekezaji
Hakuna malighafi zinazojulikana
Its an end destination hivyo kwenda kule uwe na sababu maalum.
Halmashauri ya wilaya ya Chato ikishirikiana na NHC inawakaribisha watanzania kununua viwanja vya makazi, biashara na viwanda eneo la Rubambagwe lililo katikati ya mji wa Chato na pembezoni mwa ziwa Viktoria barabara kuu ya Bukoba.

Chato inafikika kwa usafiri wa anga, maji na ardhini pia ni mji unaokwenda kwa kasi.

I
 
wala sio poor mentality, azam anauza bidhaa kwa jina wala sio lazima ubora unga huo huo wa Azam ukiweka jina lingine mtu anaweza kusema mbona unga mbaya. Jina lina matter sana tu
Sasa unafikiri ni jina ndio lilijikuza lenyewe kutokana na uzuri wa jina hilo, au huduma bora na bidhaa zilizokidhi viwango na ubora ndivyo vilivyofanya jina la azam kuwa brand kubwa na trusted.

Ndiyo maana mzee wetu anataka kuijenga Chato ivutie ili jina la Chato lisikike kokote duniani na kila mmoja wetu atamani kufika pale. Watu hawaendi sehemu kwasababu ya uzuri wa jina ila wanafata content tu.
 
Baada ya kuamia Dodoma 2015-2020 sasa tunahamia chato 2020-2025.
 
Back
Top Bottom