Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Mkuu kwani umeambiwa "Wanauza Pisi"?? ππTatizo chato hakuna pisi kali wenyeji wake ni wakimbizi wa burundi wahutu na watwa
Dhahabu (madini yasiyoshuka thamani) bado yataendelea kuchimbwa Geita...ukaribu na jiji la Mwanza napiga mishe zangu MWanza jioni naenda zangu kulala kwenye mansion langu liliopo ufukweni Chato! usafiri wangu wa Mwanza to chato ni speedboat yangu safi! Jambo jingine usalama....lazima Chato ilindwe na mwisho kufurahia uoto asilia! (Maneno huumba!)Naam, chato itakuwa kwa kasi kutumia rasilimali za taifa wakati jiwe akiwa madarakani tu. Akitoka madarakani, Chato itaporomoka kwa kasi kama Tanga.
Wanataka kuuza hivi karibuni eneo la Mtuzu, ButiamaMi nasubiri wapime kule Butiama
Halafu hela ya kujenga utaitoa wapi?
Naam, chato itakuwa kwa kasi kutumia rasilimali za taifa wakati jiwe akiwa madarakani tu. Akitoka madarakani, Chato itaporomoka kwa kasi kama Tanga.
πππ Na Nanihino pia mkimbizi?Tatizo chato hakuna pisi kali wenyeji wake ni wakimbizi wa burundi wahutu na watwa
[emoji1787][emoji1787]imebidi nicheke tuuTutapeleka na wanawake wazuri huko machotara ya Zanzibar, yakazaliane huko kuupendezesha mji.
Kama huna taarifa ile Hospitali ya Chato ni Zonal Level Kama unavyoona Bugando au Mloganzila.
Ukomo wetu wa kuongoza sio miaka 5.
Utaratibu upo hivi; Miaka 5 ya mwanzo ni kipindi cha kujifunza na kupanga. Miaka mitano ya pili ni IMPLEMENTATION ya kile kilichopangwa miaka 5 ya mwanzo.
Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ku wrap up yaani kuhitimisha implementation. Ni kipindi cha UKAMILISHAJI. Yaani Ni kipindi cha kukamilisha uumbaji wa nchi.
Safi kabisaNgoja niwahi kujenga kilinge
ππUnakumbuka ya Mobutu Tseseseko, cheki video you tube
Ulikuwa mbele ya mudaChato pana nini pale?
Labda abaki milele, akiondoka madarakani na Chato itabaki kijiji kama mwanzo!
DaahThose are White elephant projects or business, after five years nobody will send his or here ass over there.
DuuhMungu yupo ndugu yangu na korona bado ipo usije shangaa kipindi cha pili mtu ulimi nje chali kifo cha mende nyimbo za maombolezo kila kona,bendera nusu mlingoti ndipo itakuwa kilio na kusaga meno ,miradi yote piga chini kama alivyopiga chini bandari ya bwagamoyo
Ninafungua kanisa nilitabiri hiki kitu kikatokeaMungu yupo ndugu yangu na korona bado ipo usije shangaa kipindi cha pili mtu ulimi nje chali kifo cha mende nyimbo za maombolezo kila kona,bendera nusu mlingoti ndipo itakuwa kilio na kusaga meno ,miradi yote piga chini kama alivyopiga chini bandari ya bwagamoyo
NdiooooooNinafungua kanisa nilitabiri hiki kitu kikatokea
Watu mliona mbali sanaUnakumbuka ya Mobutu Tseseseko, cheki video you tube