Chato kumenoga, NHC yatangaza kuuza viwanja 1,200 pembeni mwa ziwa Viktoria. Panafikika kwa usafiri wa anga, majini na ardhini

Chato kumenoga, NHC yatangaza kuuza viwanja 1,200 pembeni mwa ziwa Viktoria. Panafikika kwa usafiri wa anga, majini na ardhini

Naam, chato itakuwa kwa kasi kutumia rasilimali za taifa wakati jiwe akiwa madarakani tu. Akitoka madarakani, Chato itaporomoka kwa kasi kama Tanga.
Dhahabu (madini yasiyoshuka thamani) bado yataendelea kuchimbwa Geita...ukaribu na jiji la Mwanza napiga mishe zangu MWanza jioni naenda zangu kulala kwenye mansion langu liliopo ufukweni Chato! usafiri wangu wa Mwanza to chato ni speedboat yangu safi! Jambo jingine usalama....lazima Chato ilindwe na mwisho kufurahia uoto asilia! (Maneno huumba!)
images (1).jpg
images.jpg
 
Tuangalie sana. Taifa letu lina tunu ambazo tusipoangalia zitaingia kwenye misukosuko. Mwenyezi Mungu azidi kubariki Taifa letu na kulilinda
 
Naam, chato itakuwa kwa kasi kutumia rasilimali za taifa wakati jiwe akiwa madarakani tu. Akitoka madarakani, Chato itaporomoka kwa kasi kama Tanga.

Wenye masikio wasikie neno hili. Shukrani sana
 
Kiwanja Pembeni ya Ziwa Laki 6?? Mbona Bei ya Kutupa au ni Porini hakuna miundombinu yeyote?
 
Tutapeleka na wanawake wazuri huko machotara ya Zanzibar, yakazaliane huko kuupendezesha mji.

Kama huna taarifa ile Hospitali ya Chato ni Zonal Level Kama unavyoona Bugando au Mloganzila.

Ukomo wetu wa kuongoza sio miaka 5.

Utaratibu upo hivi; Miaka 5 ya mwanzo ni kipindi cha kujifunza na kupanga. Miaka mitano ya pili ni IMPLEMENTATION ya kile kilichopangwa miaka 5 ya mwanzo.

Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ku wrap up yaani kuhitimisha implementation. Ni kipindi cha UKAMILISHAJI. Yaani Ni kipindi cha kukamilisha uumbaji wa nchi.
[emoji1787][emoji1787]imebidi nicheke tuu
 
Mungu yupo ndugu yangu na korona bado ipo usije shangaa kipindi cha pili mtu ulimi nje chali kifo cha mende nyimbo za maombolezo kila kona,bendera nusu mlingoti ndipo itakuwa kilio na kusaga meno ,miradi yote piga chini kama alivyopiga chini bandari ya bwagamoyo
Duuh
 
Ninafungua kanisa nilitabiri hiki kitu kikatokea
 
Back
Top Bottom