ICT OFFICER
JF-Expert Member
- Oct 6, 2018
- 235
- 299
Sasa jamani chato ikiwa mkoa kuna lipi la maana ambalo watanzania wengi watalikosa? Songwe ni moja ya mikoa michanga sana hamjalalamika kuundwa kwake, iweje Hiyo chato, au kisa Rais magufuli anatokea huko?
Ombeni Katiba mpya na kilimo kinachoajiri almost 89% of the whole population kiboreshwe. Hizi reasonable projects msihangaike nazo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], unamaanisha mashariki imepakana na Tanzania, magharibi Tanzania, kusini Tanzania, kaskazini Tanzania??Ikiwezekana Iwe Nchi Kabisa Inastahiri
Mbona Lesotho Ipo Ndani Ya South Africa
Chattel Hoyee
Shida nn??Mkishiba mna tabu sana, mnaongea mnachojisikia.
Daaah mkuu ila kwel hiyo chunya kama somalia vile mpo vizur kwa hizo vitu.Sawa tu....
Ila upendeleo uwe mfupi mfupi!
Akimaliza huko aje na chunya atutengeneze hata Base ya kutestia makombora yetu.
Ndiyo Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], unamaanisha mashariki imepakana na Tanzania, magharibi Tanzania, kusini Tanzania, kaskazini Tanzania??
Nkuku NgbenduWazabanga
Pale juu kweli kweli mtayaelekezea chini huko mbeya citySawa tu....
Ila upendeleo uwe mfupi mfupi!
Akimaliza huko aje na chunya atutengeneze hata Base ya kutestia makombora yetu.
Yaani Muleba iwe wilaya ya mkoa wa chato? Labda Bmuro.
Halafu umeweka sababu za kimaskini sana eti kituo cha polisi ni ghorofa.
Eti kuna traffic light barabarani.
Nina uhakika haya ni mawazo yako baada ya kula dona na bakuli la chainizi.
Pale juu kweli kweli mtayaelekezea chini huko mbeya city
Mwanaume kuwa mtu wa tetesi tetesi unajua hainogi, au huko dar ndo wanaume mnashinda vibarazan.Habari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chattle yenyewe
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe
Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo
Police station ni ya ghorofa
Traffic light barabarani
Wanja wa ndege wa kimaifa.
And chattle university collage of Chemical Engineering.
Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.