Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Sasa jamani chato ikiwa mkoa kuna lipi la maana ambalo watanzania wengi watalikosa? Songwe ni moja ya mikoa michanga sana hamjalalamika kuundwa kwake, iweje Hiyo chato, au kisa Rais magufuli anatokea huko?

Ombeni Katiba mpya na kilimo kinachoajiri almost 89% of the whole population kiboreshwe. Hizi reasonable projects msihangaike nazo.

Shida unataka kujifanya mjuaji sana.... wapi umeina watu wanalalamika chato kuwa mkoa???


Hiyo n habari tu mkuu wala sio lawama.
 
Ikiwezekana Iwe Nchi Kabisa Inastahiri
Mbona Lesotho Ipo Ndani Ya South Africa
Chattel Hoyee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], unamaanisha mashariki imepakana na Tanzania, magharibi Tanzania, kusini Tanzania, kaskazini Tanzania??
 
Sawa tu....

Ila upendeleo uwe mfupi mfupi!

Akimaliza huko aje na chunya atutengeneze hata Base ya kutestia makombora yetu.
Daaah mkuu ila kwel hiyo chunya kama somalia vile mpo vizur kwa hizo vitu.
 
Juzi juzi tu 1970s Mobutu Sese Seko Kuku Gbundu wa zabanga alijenga mji kijijini kwao unaitwa Gbadolite. Sasa hivi ni over magofu. Palikua na airport JKNIA chamtoto. Palikua na hoteli Temeke Sudan cha mtoto.
Hayo ni maji ya moto. Hayaunguzi nyumba
 
Alisema haongezi maeneo ya utawala kwenye utawala wake. Labda if doublestandard applied
 
Yaani Muleba iwe wilaya ya mkoa wa chato? Labda Bmuro.
Halafu umeweka sababu za kimaskini sana eti kituo cha polisi ni ghorofa.
Eti kuna traffic light barabarani.
Nina uhakika haya ni mawazo yako baada ya kula dona na bakuli la chainizi.


sawa msukuma umeeleweka ni mda wenu kutamba sisi kimya.
 
Uwanda mzuri na ni eneo kubwa tu kiongozi kwa masuala ya silaha, hadi sasa tunao wataalamu wa kutengeneza mabomu na bunduki za aina mbalimbali.

Eneo kubwa kuelekea hifadhi ya rungwa mpakani mwa tabora na singida hiyo yote ni mbuga nzuri kwa kazi hiyo.
Pale juu kweli kweli mtayaelekezea chini huko mbeya city
 
Habari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chattle yenyewe
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe

Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo

Police station ni ya ghorofa

Traffic light barabarani

Wanja wa ndege wa kimaifa.

And chattle university collage of Chemical Engineering.


Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.
Mwanaume kuwa mtu wa tetesi tetesi unajua hainogi, au huko dar ndo wanaume mnashinda vibarazan.

Ona sasa hata kuandika umeandika kitetesi tetesi tu yan
 
Back
Top Bottom