ICT OFFICER
JF-Expert Member
- Oct 6, 2018
- 235
- 299
Sasa jamani chato ikiwa mkoa kuna lipi la maana ambalo watanzania wengi watalikosa? Songwe ni moja ya mikoa michanga sana hamjalalamika kuundwa kwake, iweje Hiyo chato, au kisa Rais magufuli anatokea huko?
Ombeni Katiba mpya na kilimo kinachoajiri almost 89% of the whole population kiboreshwe. Hizi reasonable projects msihangaike nazo.
Shida unataka kujifanya mjuaji sana.... wapi umeina watu wanalalamika chato kuwa mkoa???
Hiyo n habari tu mkuu wala sio lawama.