Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Hata akitaka iwe nchi inayojitegemea sawa tu tuko tayari ili ahame pale atuachie nchi yetu
 
Sio hivyo namaanisha biharamulo imeachwa mbali Sana na wilaya nyingine za mkoa wa kagera na ni mbali Sana na makao makuu ya mkoa bukoba
Tutaiboresha tu hivyohivyo, na huo umbali tutauvumilia. Tutahakikisha tunakuwa na jamii inayoelewana na kuendana kimaendeleo, ili kama ambavyo hamuibagui Karagwe, na B'mulo ije kuwa hivyo pia
 
We huoni kutengenezwa Kwa mkoa kutawasaidia watu wa biharamulo zaidi kifursa Kwa kuwa mtakuwa na watu ambao ni jamii moja inayofanana tofauti na bukoba mkoa uliotelekezwa na serikali long na wazawa ndo Wana kibarua cha kuuendeleza
 
Kweli kabisa.... hapa sasa nimefika biharamulo yaani hamna kitu, stendi mbovu, hakuna hata apartment ya maana.
 
Tutaiboresha tu hivyohivyo, na huo umbali tutauvumilia. Tutahakikisha tunakuwa na jamii inayoelewana na kuendana kimaendeleo, ili kama ambavyo hamuibagui Karagwe, na B'mulo ije kuwa hivyo pia
Biharamulo imeachwa mbali sana na wilaya nyingine za mkoa wa kagera
 
We huoni kutengenezwa Kwa mkoa kutawasaidia watu wa biharamulo zaidi kifursa Kwa kuwa mtakuwa na watu ambao ni jamii moja inayofanana tofauti na bukoba mkoa uliotelekezwa na serikali long na wazawa ndo Wana kibarua cha kuuendeleza
Hii kweli
 
Sasa sisi tunafanana vipi na watu wa chato na kibondo?
 
Kuna wajinga wajinga wanaitwa ccm walidhani wapinzani ndio wataisoma namba kumbe ni watz.....
Tuendelee kuvumilia na tusigeuke nyuma tusijetukageuja mawe
 
tena uo mkoa nipewe mimi kama mkuu hapo .nachangamkia fursa kabisa asiingilie mtu hiyo nafasi haiana mtu tafadhali.
 
Habari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chato
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe

Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo

Police station ni ya ghorofa

Traffic light barabarani

Wanja wa ndege wa kimaifa.

And Chato university collage of Chemical Engineering.

Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.
Hata ikiwa nchi hakuna shida.
 
Back
Top Bottom