Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biharamulo inafaa iungane na chato maana hata zamani ilikuwa wilaya moja na ni karibu Pia na wala watu wake ni tofauti Sana na watu wa bukoba kimaendeleo,kielimu nkBiharamulo waipeleke wapi?
Una plan nzrBiharamulo na Muleba hata wakizitoa mkoani Kagera leo hii nikiingia madarakani 2045 hatua ya kwanza itakuwa kuzirejesha Kagera, kisha naanza kuuboresha mkoa wetu mzima uliotengwa siku nyingi. Baada ya hapo ndo mengine yatafuata.
Unamaanisha Biharamulo hakuna elimu?Biharamulo inafaa iungane na chato maana hata zamani ilikuwa wilaya moja na ni karibu Pia na wala watu wake ni tofauti Sana na watu wa bukoba kimaendeleo,kielimu nk
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Sio hivyo namaanisha biharamulo imeachwa mbali Sana na wilaya nyingine za mkoa wa kagera na ni mbali Sana na makao makuu ya mkoa bukobaUnamaanisha Biharamulo hakuna elimu?
Tutaiboresha tu hivyohivyo, na huo umbali tutauvumilia. Tutahakikisha tunakuwa na jamii inayoelewana na kuendana kimaendeleo, ili kama ambavyo hamuibagui Karagwe, na B'mulo ije kuwa hivyo piaSio hivyo namaanisha biharamulo imeachwa mbali Sana na wilaya nyingine za mkoa wa kagera na ni mbali Sana na makao makuu ya mkoa bukoba
Wazabanga
Kweli kabisa.... hapa sasa nimefika biharamulo yaani hamna kitu, stendi mbovu, hakuna hata apartment ya maana.Sio hivyo namaanisha biharamulo imeachwa mbali Sana na wilaya nyingine za mkoa wa kagera na ni mbali Sana na makao makuu ya mkoa bukoba
Biharamulo imeachwa mbali sana na wilaya nyingine za mkoa wa kageraTutaiboresha tu hivyohivyo, na huo umbali tutauvumilia. Tutahakikisha tunakuwa na jamii inayoelewana na kuendana kimaendeleo, ili kama ambavyo hamuibagui Karagwe, na B'mulo ije kuwa hivyo pia
Hii kweliWe huoni kutengenezwa Kwa mkoa kutawasaidia watu wa biharamulo zaidi kifursa Kwa kuwa mtakuwa na watu ambao ni jamii moja inayofanana tofauti na bukoba mkoa uliotelekezwa na serikali long na wazawa ndo Wana kibarua cha kuuendeleza
Sijakataa. Rudia kusoma nilichokiandikaBiharamulo imeachwa mbali sana na wilaya nyingine za mkoa wa kagera
Sasa sisi tunafanana vipi na watu wa chato na kibondo?We huoni kutengenezwa Kwa mkoa kutawasaidia watu wa biharamulo zaidi kifursa Kwa kuwa mtakuwa na watu ambao ni jamii moja inayofanana tofauti na bukoba mkoa uliotelekezwa na serikali long na wazawa ndo Wana kibarua cha kuuendeleza
Sawa sawa chiefSijakataa. Rudia kusoma nilichokiandika
Hata ikiwa nchi hakuna shida.Habari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chato
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe
Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo
Police station ni ya ghorofa
Traffic light barabarani
Wanja wa ndege wa kimaifa.
And Chato university collage of Chemical Engineering.
Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.