Chato: Mkuu wa Wilaya akataa kuishi kwenye Nyumba ya Serikali akidai haina uzio. Anaishi hotel ya Burigi. Haya mambo hapo nyuma yalisahaulika

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.

Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.

Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.

Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.

N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
 
Chato ndo imesahaulika hivyo acha aendelee kuishi hotelini la sivyo uzio aweke kwa mshahara wake
 
Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.

Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.

Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.

Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.

N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.

Kuishi Hotelini ni maamuzi ila ajilipie kwa mshahara wake
 
Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.

Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.

Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.

Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.

N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
Mnamlazimisha akae kwenye nyumba isiyo na fensi ili mmfanye nini usiku..!

Mkuu wa wilaya shikilia hapohapo
 
Mmeumia sana kwenda huko mnakuja kulalamika mkizani itawasaidia.. taarifa yenu huyo ndie na atakuwa
 
Chawa wa kalemani amewakaza sana.

Usalama wake ni mhimu kuliko upumbavu wa medard kalemani aliyechomoa kamera za nyumbani kwa lisu siku wanamwagia mvua ya risasi.
Ni mtu mvumilivu saana wa kutokukwambia wewe ni mpumbavu na mjinga!
 
Na ni mzaliwa wa hapo hapo Chato.
Umishakuwa mwanasiasa unakuwa na maadui wengi. Ni vizuri wamuimarishie ulinzi na usalama wa mali zake...
Kwa kutumia tofali za kuchoma, fensi watajenga kwa bei nafuu tu.
 
Back
Top Bottom