Chato: Mkuu wa Wilaya akataa kuishi kwenye Nyumba ya Serikali akidai haina uzio. Anaishi hotel ya Burigi. Haya mambo hapo nyuma yalisahaulika

Chato: Mkuu wa Wilaya akataa kuishi kwenye Nyumba ya Serikali akidai haina uzio. Anaishi hotel ya Burigi. Haya mambo hapo nyuma yalisahaulika

Muacheni ale mema ya nchi. Unaambiwa ukipata kitumie. Huyo aliyemteua anaweza kukaaa nyumba isio na uzio? Yeye kama muwakilishi wa aliyemteua hapaswi kuishi kinyonge.

Sasa hivi DC anakula wahudumu wa hotel tu.
 
Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.

Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.

Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.

Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.

N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
Mh
 
Kabisa kabisa....mapochopocho Kwa sana❤️❤️❤️
Akiwa mbahili siku 40 baada ya honeymoon naita fuso linabeba kila kitu ndani hadi madodoki ya kuogea.
Akileta mzaha nawaita kaka zangu wa hapa hapa jf wambonde.
 
Sasa hao wengine kama wameweza kuishi ndio ticket na yeye kuishi? Jengeni fensi ili Mkuu wa wilaya mpya aishi ,inakuwaje nyumba ya mtu mkubwa kama huyo haina fense?
 
Ila jaman acheni siasa hata mm nisingekaa Usalama muhimi wakuu
 
Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.

Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.

Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.

Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.

N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
Ukipata nafasi nchi hii,we kula tu,nchi imejaa viongozi wezi,wenye akili wenye madaraka ni wezi,wananchi wengi ni wajinga.
Leo serikali inawaita vijana wa bodaboda,"maofisa usafirishaji!!huu unafiki umepitiliza kikomo,na yenyewe yanakubali kubeba mabango,kwamba ni maofisa usafirishaji!!
 
Attachments

  • Screenshot_20230305-234406.png
    Screenshot_20230305-234406.png
    217 KB · Views: 2
Siakaishi kwenye nyumba yake yenye uzio aachane na hiyo mbovu ya serikali
Au yeye sindio mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya,siawapange zamu hata mapoti kumi kwa kila shift ili wamlinde asije akafa?
 
Back
Top Bottom