Chato: Mkuu wa Wilaya akataa kuishi kwenye Nyumba ya Serikali akidai haina uzio. Anaishi hotel ya Burigi. Haya mambo hapo nyuma yalisahaulika

Chato: Mkuu wa Wilaya akataa kuishi kwenye Nyumba ya Serikali akidai haina uzio. Anaishi hotel ya Burigi. Haya mambo hapo nyuma yalisahaulika

Lovelovie hakuna story nzuri imeanza unitag? Maana bila kutagiwa huwezi iona nipoteze muda hapa mpk lunch tym
 
Ataishije nyumba isiyokuwa na uzio bana! Vitu vingine hata sio vya kuweka humu, kumbuka uzio ni sehemu ya usalama wa familia sio urembo
Uko sahihi sana,hapo ukute kuna mpuuzi mmoja anabania hela ya huo uzio kisa hela zinapitia mikononi mwake...
 
Ataishije nyumba isiyokuwa na uzio bana! Vitu vingine hata sio vya kuweka humu, kumbuka uzio ni sehemu ya usalama wa familia sio urembo
Vipi wale wenzetu wanaoishi kwenye Mansions zile zenye white picket fences ambazo mtoto anaweza hata kuruka hiyo fence na wao usalama wao upoje?
 
Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.

Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.

Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.

Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.

N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
chato niternational airport.
 
Back
Top Bottom