Sasa kwa nini achezee mshahara wake kwa kulipia hotelini wakati Nyumba ya Serikali IPO?!Labda analipa Kwa mshahara wake.
Kwanini anakataa au kuringa kuishi kwenye nyumba hiyo? wakati anaulinzi wa kutosha?!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwa nini achezee mshahara wake kwa kulipia hotelini wakati Nyumba ya Serikali IPO?!Labda analipa Kwa mshahara wake.
Ww una kipi hasa cha maana mpaka umnyoshee kidole Kalemani!!??Kalemani anahesabu siku zake katika ubunge, alikuwa pandikizi wa jiwe, bado manunga, ataondoka hapo kwenye udiwani na uenyekiti wa halmashauri
Mnajitoa ufahamu tu.Kuishi Hotelini ni maamuzi ila ajilipie kwa mshahara wake
Kichwani uliwekewa matope badala ya ubongo?Ww una kipi hasa cha maana mpaka umnyoshee kidole Kalemani!!??
Kwa ni dhambi kuwa upande wa Magu....
kuna mitanzania ina akili fupi imekaa kichawi chawi. Kimajungu majungu. Kumbaf sana
Huu ni upuuzi mkubwa sana, kutumia hela za wananchi kwa starehe zako binafsi, wote waliokuwa wanakaa hapo walikuwa na mbwa na yeye ndo mtu!!Chawa wa kalemani amewakaza sana.
Usalama wake ni mhimu kuliko upumbavu wa medard kalemani aliyechomoa kamera za nyumbani kwa lisu siku wanamwagia mvua ya risasi.
Basi huyu jamaa soon atanikoma kwa threads za kumnanga. Kumbe ndiye yeye alifanya ushetani huu??Usalama wake ni mhimu kuliko upumbavu wa medard kalemani aliyechomoa kamera za nyumbani kwa lisu siku wanamwagia mvua ya risasi.
Wote waliokuwa wanaishi hapo walikuwa wanaishi je? Kwanza nyumba zenyewe zinakuwa zimepangiwa walinzi usiku na mchana wamebeba silaha nzito nzito nani atakayeingia kwenye hiyo nyumba!! Mama Samia fukuza huyu mtu kabeba mabega juu ya kichwa, wengi wataigiza huu utamaduni wa hovyo sanaMnajitoa ufahamu tu.
Kama hiyo nyumba sio salama ni wajibu wa serikali
Matope unayo ww kwenye bichwa lakoKichwani uliwekewa matope badala ya ubongo?
kuwa upande wa meko ni laana, mjaaa laana yule ndio maana alikufa mapema.Ww una kipi hasa cha maana mpaka umnyoshee kidole Kalemani!!??
Kwa ni dhambi kuwa upande wa Magu....
kuna mitanzania ina akili fupi imekaa kichawi chawi. Kimajungu majungu. Kumbaf sana
Kwani Kalemani akiondoka babaako ndio atakuwa Mbunge wa Chato? Ahahahahah! Kuna uwezekano babaako aliishakufaGA hata Ubalozi wa Nyumba Kumi hakuupataGA hata kama aliupendaGA sana! Ahahahahah!!Kalemani anahesabu siku zake katika ubunge, alikuwa pandikizi wa jiwe, bado manunga, ataondoka hapo kwenye udiwani na uenyekiti wa halmashauri
Huyo Diwani humjui so kaa KimyaKalemani anahesabu siku zake katika ubunge, alikuwa pandikizi wa jiwe, bado manunga, ataondoka hapo kwenye udiwani na uenyekiti wa halmashauri
Huyo Manunga ndio mpuuzi kweli na anajidanganya kuutaka ubungeKalemani anahesabu siku zake katika ubunge, alikuwa pandikizi wa jiwe, bado manunga, ataondoka hapo kwenye udiwani na uenyekiti wa halmashauri
Huyo alokupa taarifa akiona umeandika hapa siku nyingine hakupi umbea.Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.
Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.
Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.
Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.
N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
Akutumie na kapicha basiNyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.
Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.
Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.
Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.
N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
Kwa akili za waswahili ipo siku atahamia mwingine atasema wabomoe anataka hewa na upepo mwananaAtaishije nyumba isiyokuwa na uzio bana! Vitu vingine hata sio vya kuweka humu, kumbuka uzio ni sehemu ya usalama wa familia sio urembo
Yuko sahihi namuunga mkono privacy na usalama unakuwa mdogo yuko sahihi akazie hapo hapoNyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.
Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.
Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.
Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.
N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama fukuza huyo mkuu wa wilaya haraka Sana ,mm Niko tayari hata kuishi,kufanya kazi , kwenye nyumba bila siling board na milango Wala madirisha na Kaz za ukuu wa wilaya itafanyika kwa umahiri na uweledi mkubwaa
Naomba Kaz hyo kwa namba hz Kisha nitaripoti kituoni chapu
0787 454560