Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Labda analipa Kwa mshahara wake.Kama ni kweli basi hayo ni matumizi mabaya ya fedha za umma,
Usalama wake ni muhimu!Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.
Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.
Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.
Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.
N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.
Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.
Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.
Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.
N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
Mnamlazimisha akae kwenye nyumba isiyo na fensi ili mmfanye nini usiku..!Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.
Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.
Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.
Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.
N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
Ni mtu mvumilivu saana wa kutokukwambia wewe ni mpumbavu na mjinga!Chawa wa kalemani amewakaza sana.
Usalama wake ni mhimu kuliko upumbavu wa medard kalemani aliyechomoa kamera za nyumbani kwa lisu siku wanamwagia mvua ya risasi.
Picha ya nini?Weka picha mkuu tuone
Umishakuwa mwanasiasa unakuwa na maadui wengi. Ni vizuri wamuimarishie ulinzi na usalama wa mali zake...Na ni mzaliwa wa hapo hapo Chato.