Chato: Mkuu wa Wilaya akataa kuishi kwenye Nyumba ya Serikali akidai haina uzio. Anaishi hotel ya Burigi. Haya mambo hapo nyuma yalisahaulika

Watume kikosi kimoja cha makomando wamlinde.
 
Kwa nafasi yake angeweza kuweka uzio
 
Yuko sahihi mwacheni alale kwenye Hotel kwa usalama wake na familia yake.
 
Kwao kuna uzio. Si angeenda kuishi magereza Chato ambako kuna uzio basi
 
Serikali impatie ulinzi wakati mchakato wa ujenzi wa fence unaendelea..kukaa hotelini ni gharama lakini pia usiri wa nyaraka zake unaweza kuwa hatarini,
Mwisho,hata kimalezi sio AFYA kuishi na watoto hotelini
Siku zote hujui ma DC wanalindwa na police nyumbani kwao?
 
Mbona unaendekeza ufukula we pimb! Unafikiri ufukura ni Dili sana eti . Jpm alikalilish sana kwamba ukilala shimoni eti ndo uzalendo kumbe Pepo la kimaskini lilikuwa linamtafuna. Ndo mana m afurahia kuendesha bodaboda na vicoba wakati hakuna mtoto wa mbunge Wala waziri mpaka jpm mwenye ambaye aliendesha bodaboda mana ni laana na jpm aliwaachia laana
 
Nchi inaendeshwa na MapakaπŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Umetawaza hilo nyeo? Mbonq unasumbua wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…