Chato: Mkuu wa Wilaya akataa kuishi kwenye Nyumba ya Serikali akidai haina uzio. Anaishi hotel ya Burigi. Haya mambo hapo nyuma yalisahaulika

Lovelovie hakuna story nzuri imeanza unitag? Maana bila kutagiwa huwezi iona nipoteze muda hapa mpk lunch tym
 
Ataishije nyumba isiyokuwa na uzio bana! Vitu vingine hata sio vya kuweka humu, kumbuka uzio ni sehemu ya usalama wa familia sio urembo
Uko sahihi sana,hapo ukute kuna mpuuzi mmoja anabania hela ya huo uzio kisa hela zinapitia mikononi mwake...
 
Ataishije nyumba isiyokuwa na uzio bana! Vitu vingine hata sio vya kuweka humu, kumbuka uzio ni sehemu ya usalama wa familia sio urembo
Vipi wale wenzetu wanaoishi kwenye Mansions zile zenye white picket fences ambazo mtoto anaweza hata kuruka hiyo fence na wao usalama wao upoje?
 
chato niternational airport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…