Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022
Hao uvccm, weka picha ya mtiti wa mkutano wa hadhara.
UVCCM walidhani wangewazuia maelfu kuhudhuria mkutano.
CCM imeahindwa na haikubaliki Tena kila mahali
 
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022
No Upumbavu na ujinga kuendelea kulea vitengo vya kuvunja amani yetu. Upumbavu wa aina hii si wa kuendekeza hata kidogo. CCM nchi hii hamjamilikishwa popote na ujinga huu wa kuvunja amani ya nchi yetu mwaka huu mwisho
 
Watu wanataka uwanja unakwenda kuwaambia kuwa uwanja hauna faida wacha wakuchape kichapo cha mwizi
 
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022
Natamani kujua washambuliaji ni akina nani, wametumwa na nani na kwa maslahi gani, so far polisi wamechukua hatua gani?

Haya mambo yanaleta picha mbaya sana kwa ccm
 
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022
Wana wa Mungu "CHADEMA " shukuruni Mungu, huyo askari hapo namuonea huruma, yeye anatekeleza maagizo toka kwa "wanefili" waliomtuma , waliovaa ngozi ya kondoo ilhali ndani ni mbwa mwitu, leo wametembelea hekalu, kukagua ujenzi kumbe mioyoni wamejaa "damu"
 
Back
Top Bottom