Nani kakwambia nasubiri pesa CHADEMA? Kwanza sisi ndio tunachanga kuanzia kuwatoa gerezani mpaka kampeni kivp tena tutegemee kupata pesa kutoka kwao? CHADEMA ni kujitolea tu hakunaga malipo na wote tunajua hilo.
2.Haina sera eeh? Hiyo ya Elimu bure hadi chuo? Bima ya afya kwa wote? Soko huria (Private sector-driven economy) humsikii Lissu akisimama kila siku na kuongelea watu wafanye biashara kwa UHURU? Au hujui soko huria ni nini?
3.Network ipo ndio maana kuna ofisi za kanda ambaso zina regulate mambo yote ya eneo hilo. Pia kuna CHADEMA ni msingi'' inayohusisha na kupeleka chama ngazi ya grassroots kabisa. Unadhani hiyo initiative haikipeleki chama kwa wananchi? Na kuunda network?
4. Chama hakina ofisi una maana gani? Hilo jengo ni mali ya CHADEMA hawajapangisha sasa unaposema hawana ofisi unaongelea ofisi ipi hasa?
5. Ww na ukoo wenu wote hamjawahi kuwa na Elite kma Lissu. Roho inauma sana ukimuona anavyopokelewa na umati mkubwa kila anapokanyaga. Whateva matokeo yatakavokuwa ila Lissu ame defy odds na kuleta challenge kwa Magufuli ambayo hakuna aliyetegemea.