3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Unaruhusiwa hata wewe kumuatack... sema mabaya yake kama tunavyosema ya Pombe.Anaongoza chama amedhaminiwa na chama ongelea chama chake mbona yeye hamuatack Lissu? au unadhani hana ya kumu attack nayo? acha umbumbu jazz band
Ni fisadi?
Ni Muuaji?
Ni mhujumu uchumi?
Aliuza nyumba za serikali?
Alihusika kusaini mikataba mibovu?