Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Lisu na chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha chato wamfundishe tena wampige mawe haswaa
Kila mgombea ana haki ya kuzunguka eneo lolote ndani ya Tanzania kwa ajili ya Kampeni, kwani nani mwenye hati miliki ya Chato? Nakumbuka Magufuli alienda Singida eneo alipozaliwa Lissu lakini hakuna aliefanya fujo
 
Halafu kamanda sirro anatangaza hadharani kuwa atawashughulikia wote wenye taswira ya kuvunja amani.

Ukisikia tamko lolote na amri yoyote ile kutoka kwake tena hadharani basi Lipumba apewe nchi bila kampeni wala uchaguzi
 
Hutawasikia tume ya uchaguzi wakilaani kwa vile ni chadema wanashambuliwa ,ingekuwa CCM ndo wanashambuliwa utaona watakavyokuja kasi kulaani kama faru aliyejeruhiwa kwa risasi
Sio kulaani tu, wagombea wangeenguliwa kabisa kutoka katika nafasi za kugombea, ila kwa sababu ni upinzani basi tume itabariki kila aina ya udhalimu unaofanywa dhidi ya wapinzani na hakuna hatua itakayochukuliwa dhidi ya hao wahalifu
 
huo ni ujinga kwahiyo Magufuli asifanye kampeni jimboni kwa lissu au arusha apigwe mawe ,we nguruwe wa lumumba huna akili
Lissu hua anasema Nchi inaendeshwa kidikteta...Mara nyingine anasema MAGUFULI anajifanya mfalme je ni kweli anamaanisha ? Je ni kweli anaamini anachosema maana huwezi ukaenda stronghold ya mfalme ukapige kampeni labda iwe ndani ya nchi ya kidemokrasia sasa yeye anaamini MAGUFULI ni dikteta alafu wakati huohuo anaenda kufanya kampeni kwake ( kwa diktete kweli?)
 
Natamani kujua washambuliaji ni akina nani, wametumwa na nani na kwa maslahi gani, so far polisi wamechukua hatua gani?

Haya mambo yanaleta picha mbaya sana kwa ccm
Washambuliaji ni wana-Chato ambao Tundu lissu anawasema wamepelekewa maendeleo kwa upendeleo
 
Back
Top Bottom