figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Lisu ameamuru barabara ifungwe?!!Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
Aise...Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
Huo ni ujinga kwahiyo Magufuli asifanye kampeni jimboni kwa Lissu au Arusha apigwe maweLisu na chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha chato wamfundishe
Hao uvccm, weka picha ya mtiti wa mkutano wa hadhara.Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022
Mnachokitafuta mtakipata muda si mrefu!Lisu na chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha chato wamfundishe
No Upumbavu na ujinga kuendelea kulea vitengo vya kuvunja amani yetu. Upumbavu wa aina hii si wa kuendekeza hata kidogo. CCM nchi hii hamjamilikishwa popote na ujinga huu wa kuvunja amani ya nchi yetu mwaka huu mwishoMheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022
Watu wanataka uwanja unakwenda kuwaambia kuwa uwanja hauna faida wacha wakuchape kichapo cha mwiziNo Upumbavu na ujinga kuendelea kulea vitengo vya kuvunja amani yetu. Upumbavu wa aina hii si wa kuendekeza hata kidogo. CCM nchi hii hamjamilikishwa popote na ujinga huu wa kuvunja amani ya nchi yetu mwaka huu mwisho
Mmeshashindwa kabla ya tarehe 28.10. mmebaki kutoa meno tu na bado. Mnaendekeza Upumbavu wa kushambulia watu mwaka huu mtakomaLisu na chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha chato wamfundishe
Makamanda mnalialia ninikwenye hoja hata mgombea wao huwa anaogopa anakimbilia kutekana na kupiga watu risasi si bure ndio maana hataki kusikia neno mdahalo ataangamia
Mtalia sana mwaka huu na badoMmeshashindwa kabla ya tarehe 28.10. mmebaki kutoa meno tu na bado. Mnaendekeza Upumbavu wa kushambulia watu mwaka huu mtakoma
Natamani kujua washambuliaji ni akina nani, wametumwa na nani na kwa maslahi gani, so far polisi wamechukua hatua gani?Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022
Machadema mlikuwa wapi kujibu mapigo? Mko wengi mwambieni aingize watu barabarani.Wameshindwa hoja wamekimbilia nguvu ni dhaifu Sana Hawa
Wana wa Mungu "CHADEMA " shukuruni Mungu, huyo askari hapo namuonea huruma, yeye anatekeleza maagizo toka kwa "wanefili" waliomtuma , waliovaa ngozi ya kondoo ilhali ndani ni mbwa mwitu, leo wametembelea hekalu, kukagua ujenzi kumbe mioyoni wamejaa "damu"Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022