Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Haiwezekani kuwatukana raia wa chato wasijengewe uwanja wa ndege na ukategemea watakupokea kwa mikono miwili
Huu ni ubaguzi mkubwa sana bwana TAL kwa wanachato hasa kuwaona wao hawafai kuwa na uwanja ndege na hifadhi ya taifa kuwa Chato
 
Dar tuna jambo letu
TAL hana mvuto kabisa dar
 
Hakuna aliye juu ya Sheria hata kama hukitaki CHADEMA. Waliopiga mawe msafara wake walitakiwa wawe wamekamatwa na kupelekwa Mahakamani.

Polisi fanyeni kazi kwa weledi, haya mambo ya kupendelea huleta matatizo baadaye.
 
😲huyu jamaa huenda akawa amemponza hayati.
alafu mwisho akaulizwa "unaitwa nani?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…