Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Anataka Bei ya subuni ishuke Bei na Mafuta ya taa

Kwanini hajaimba katiba Mpya na mambo ya utawale Bora sioni Kama anakosoa Bali analengo la kuimba Mambo ambayo hayana msingi


Bei za vyakula
Katiba Mpya
Tume huru ya uchaguzi nk Ayo ndo mambo ya msingi
 
Wanafasihi makasuku! Fasihi siyo kasuku ni kioo cha jamii

Angebakia kwenye Mvaa Ushungi ingetosha, wala sheria isingempata Kwa sababu wavaa Ushungi ni wengi, au angebakia kwenye majina ya utani tuu au yakubuni.

😂😂 Ila kanichekesha Sana, ukisikia kujilipua ndio Huko sasa. Yaani ukisikia ujinga unagharama ndio hiyo. Hapo mwenyewe ukimuuliza huwezi amini Nia yake ati ni kuikosoa serikali
 
Asante Mayor Quimby
 
CCM wanaharamu kabisa ninyi, wafungwa wengi wamekufa miaka michache baada ya kuachiwa huru
 
Sad, wote hao waliuawa na serikali ya CCM
 
Wale waliomuhamasisha kutukana, halafu akasema yeye haogopi.

Lakini kweli hakuogopa maana amekiri kufanya kosa hilo. Hongera zake kwa kuwa mkweli.
Msema kweriii ni mpenzi wa Mwenyezi Mungu. Sema na wewe rafiki yangu ulimpania sana Rais, yaani umemtungia beti kama sita hivi🤣🤣🤣Au nasema uongo ndugu zangu?

Haya mbunge wa hapa yuko wapi? Kalemani sema utatoa sh ngapi? Ili tumkomboe waukae🤣🤣
 
Unajua wasukuma "hasa wasiokua na elimu" inabidi waukubali tu ukweli kwamba jamaa Yao ndo kashakwenda na haludi tena. Kitabu kishafungwa!

Haya wakati yupo huyo magufuli wao lini tuliwahi kupata sabuni kwa miatatu? Kwanza ukichunguza magufuli mfumuko wa bei umeanza kipindi Cha magufuli.

Kama Kuna mtu anabisha aniambie kikwete aliacha sukari kilo shingapi?

Kikwete aliacha unga kilo shingapi?
Kikwete aliacha mfuko wa cement shingapi?
Kikwete aliacha dumu la mafuta ya kula shingapi?........n.k

Haya magufuli ameondoka vyote hivyo nilivyocitaja bei ilikuaje?????
 


Hakunaga Uhuru WA kumvunjia MTU mwingine heshima iwe Kwa kumtukana au Kwa namna yoyote Ile.

Bahati nzuri Dawa ni msanii wa muziki alikuwa na uwanja mkubwa wa Kutumia Lugha za kifasihi na kuepuka kujikuta matatizoni.
 
Na wewe Kwa kuweka mashahili ya huo wimbo umemtukana Rais,
 
Sa
Waandamanaji Ufaransa sasa wanamtukana sana Macron,tena wakati mwingine wanatengeneza sanamu yenye mfano wa sura yake na wanaichoma..Hakuna anaeshitakiwa hata mmoja.
Sawa wanamtukana, je katiba na sheria zao za huko Ufaransa zinasemaje? Hapa ndipo mahakama inapafanyia kazi.

Tusipende kuleta mifano isiyo na uhalisia wa mfanano. Na hii Ndiyo inakuwa kwamba kuiga kunya kwa tembo mwisho kupasuka msamba. Hata kama katiba mpya sidhani kama itaruhusu huu utamaduni mbovu wa matusi ya wazi kwa kiongozi wa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…