Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Huu wimbo ujafanana kiasi Melody na wimbo wa Salma wa Salomon wa ivory l coast, sijui why alipanic akamsemq Rais bora angelalamikq bila jeuri, dharau na tusi, ameniboa sana huyu fala
 
Huu wimbo ujafanana kiasi Melody na wimbo wa Salma wa Salomon wa ivory l coast, sijui why alipanic akamsemq Rais bora angelalamikq bila jeuri, dharau na tusi, ameniboa sana huyu fala
 
Any right thinking member of the society, akiyasoma tuu hayo mashairi, atagundua this man is insane!, huyu sio mtu wa kupelekwa jela, ni mtu wa kupimwa akili na kuanza matibabu!.
Absolutely right.

Huyu ni kichaa tu.

Kulikuwa hakuna sababu ya kumfunga.

Wangemtandika hata viboko kadhaa na kumwacha aende zake.

Pamoja na hayo naona kaongea maneno yanayoudhi ila sio matusi.

Sidhani kama hiyo adhabu inaendana na kosa alilotenda.
 
Kijana yuko SAHIHI, ameimba ukweli mtupu. Serikali ya CCM kupitia mahakama yake ya kitapeli waache uonevu
 
Inamaana Rais na Membe, Membe anathamani kubwa kuliko Rais!? Fidia ya Membe ni b9, wakati huyu aliyemtukana Rais fine yake ni 10M tu.!
 
Mahakama wanafanya upuuzi ,waende USA waone watu wanavyomtukana rais hadharani ,sijaona kosa la huyo msanii ,rais mwenye ushungi ndiyo nani? Alimtaja?
Bongo hamna uhuru wa habari wa kweli sababu raisi ni semi God. Wananchi wangekuwa na nguvu ya uhakika kidemokrasia kungekuwa hamna kesi za hivyo. Mtu akiambiwa ukweli sababu ni raisi ndio atoe amri ya mtu kufungwa?
 
Huyo kijana mshenzi sana, amefungwa miaka michache na wafadhili wake akina Kalemani, Dotto na Manunga
 
Ukisikia wasukuma ni washamba usibishe..

Haya mtani tangulia huko selo ukaone kati ya maisha ya mtaani na huko wapi ni magumu....Eti sabuni, mafuta na mkaa vimepanda bei 😂😂😂😂
 
Unajuaje kama kaimba mvaa ushungi wakati nyimbo ni ya kisukuma full.? Uhuru wa maoni uko wapi sasa hapo?

Halafu mmekaa kibwege mnasema Lissu alionewa kupigwa njugu! Alichofanya huyo raia kina tofauti gani na cha Lissu?
Mkuu Lissu kupigwa risasi ni tofauti na kufungwa jela. Mbona Sugu alifungwa kwa kumtukana JPM pia Mbowe na Matiko walifungwa miezi 7 kwa uchochezi!! Ila sio RISASI. Yaani kumuua mtu kisa kakutukana ni kuvuka mipaka, ila Lissu angefungwa tungeona kawaida maana tulizoea kila siku wanamfungulia kesi mahakamani.
 
Aliyeita raisi dikteta uchwara yeye alikuwa sahihi, yani hii nchi tupigwe nyuklia tu tuanze upya
Hakumtaja jina ndio maana akashinda kesi. Huyu kataja jina Moja kwa Moja kusema Rais ana mapunye, avue ushungi (dini hairuhusu), ana mashavu, sijui ameiba ndege 3!!

Lissu alikua anamkosoa kwa lugha kali ila hakuwahi mtukana JPM matusi ya nguoni Tena kwa kumtaja jina.
 
Huko jela askari magereza wanajua kitu kizuri Cha kumfanyia.

Nashauri pia chakula anachopewa magereza kifanyiwe kale ka mambo, akitoka jela maini yawe yameiva pamoja na Figo, hapo atachagula ale na ugali au wali
 
Kwahio raisi mwenye Ushungi ni tusi hilo?
 
Ujumbe ni mzuri ila umejaa matusi na lengo la kumshusa hadhi mheshimiwa Rais.
 
Wale waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ndio wakamatwe.
Huko magereza kwanza atafikia kipigo Cha mbwa mwizi, na ikibidi chakula chake kiwekewe viungo vya mapishi vya kulainisha Figo na maini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…