Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Mlikuwa hamtukani humu? Au jamii forum umejiunga leo?
 
Matusi siku hizi yamebadilika nini, yamekuwa mapya eeh...nimesikiliza hadi mwisho sijasikia tusi hata moja angalau kwa yale tuliyoyazoea toka utotoni.
Mbona mwenyewe amekiri kosa? Hata ukienda kukata rufaa utashindwa
 
Waandamanaji Ufaransa sasa wanamtukana sana Macron,tena wakati mwingine wanatengeneza sanamu yenye mfano wa sura yake na wanaichoma..Hakuna anaeshitakiwa hata mmoja.
 
Sasa kwenye hili taifa letu ukiimba https://jamii.app/JFUserGuide president si itakuwa death sentence? 😂 😂 😂
 
Mbona hakuna tusi hapo
 
Sasa kumbe mtu akiwa anafungwa jela ilikuwa sawa ila vipi kama mtu hasikii na anaendelea na makusudi kumdhihaki raisi. Huo sini utovu wa nidhamu
Hapana wangeweza muweka ndani hata kabla kesi haijasikilizwa. Mfano Mdude hakuwa na kesi ya ukweli ila walikua wanamzungusha mwishowe akakaa jela zaidi ya mwaka. Same to Mbowe naye alikaa jela miezi 7 hata bila ya kuhukumiwa. Ila uhai wa mtu sio kitu Cha kuondoa sababu tu kakutukana. Hivi hata wewe ukisema uuwe wote waliokutukana atasalia mtu kweli hapo mtaani kwenu?
 
Achapwe na viboko 60 vya makalio huyo mwehu wa chato hana adabu. Kwani nani kamwambia kuwa Rais wa nchi ndo muuza mafuta ya kula na sabuni? Sheeenz kabisa!!
 
Hata Rais mwenyewe hajali mambo madogo kama haya,wapambe na chawa ndiyo nuksi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…