Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Unafanya makosa sana kulinganisha jamii ya america na tz. Sisi tuna calue zetu wao wana zakwao. Lazima tuwe na different views.
Kuna limitation kwenye uhuru , si tu unajisikia tu kutukana bila madhara
[emoji2956]
 
Ushasema ufaransa! Achana na mambo ya wazungu wewe!!hata kama Rais ndo wewe usingekubaliana na matusi kama hayo!

Aisee Mimi bora unipige kibao kuliko kunidhalilisha kiasi hicho bana!

Alafu watu kama nyie ndo mnafanya kunakuwa na ugumu wa kupata katiba mpya
Haswaaaaa[emoji106]
 
Waandamanaji Ufaransa sasa wanamtukana sana Macron,tena wakati mwingine wanatengeneza sanamu yenye mfano wa sura yake na wanaichoma..Hakuna anaeshitakiwa hata mmoja.
Kila nchi ina sheria zake. Halafu huyu mshtakiwa amekiri mwenyewe, sioni kwa nini mnabishana hapa.
 
Watakuwa ni kijani wasiompenda mama
Ushamba na kumuabudu mwendazake, hata hajui Bei ya unga na mchele and sukari vilipandishwa na huyo, iwe fundisho, Hakuna chama kinachojielewa kinaweza tetea mshamba huyu
 
Kwa nini samia anavaa ushugi? huoni anaingilia uhuru wa Samia wa imani yake?
 
Matusi siku hizi yamebadilika nini, yamekuwa mapya eeh...nimesikiliza hadi mwisho sijasikia tusi hata moja angalau kwa yale tuliyoyazoea toka utotoni.
Ukiambia uvue nguo ili waone kama umetairi au hapana unafanyaje?
 
Back
Top Bottom