Chato: Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, atembelea kaburi la Hayati Magufuli

Huyo pengo na marehemu ni wote ni wafu tu, mmoja ni mfu aliye hai na mwingine ni mfu aliyekufa. Natamani hata na yeyey pengo aanguke hapo amfuate mungu wake wa Chato.
 
hakika
hakika Mungu ni mwema kila wakati.Tunayoyawaza wanadamu Mungu hawazi hayo.RIP Mwamba.
 

Mama Janeth anazidi kunenenepa baada ya kifo cha mumewe.

Ananawili kila siku.
 
Huyo pengo na marehemu ni wote ni wafu tu,mmoja ni mfu aliye hai na mwingine ni mfu aliyekufa. Natamani hata na yeyey pengo aanguke hapo amfuate mungu wake wa chato.
Wewe si mfu uliye hai? Umekuja kuishi milele hapa duniani?

Pengine hata hautazikwa kama hawa, labda utafukiwa tu kama mzoga au mbwa aliyefia porini, unajuaje?
 
Huyo pengo na marehemu ni wote ni wafu tu,mmoja ni mfu aliye hai na mwingine ni mfu aliyekufa. Natamani hata na yeyey pengo aanguke hapo amfuate mungu wake wa chato.
Pumzi inatudanganya sana, kua makini na kauli zako, sisi wote ni marehemu watarajiwa ni bora hao waliotangulia kuliko sisi ambao hatujui mwisho wetu ukoje, unaweza ukafa na kipindu pindu ukazikwa na city hata nduguzo wasikuone, unaweza ukafa baharini ukaliwa na samaki usionekane hata kucha, unaweza ukagongwa na lori ukasagika watu wakakuzoa kama chapati hata usiweze kuagwa, unaweza ukafa kwenye ajali ya moto ukateketea hata majivu yako yasipatikane, unaweza ukapatwa na kansa ukaugua kwa mateso makali na hatimae ukaomba mwenyewe Mungu akuchukue tu,

Kua na heshima kwa wafu.
 
Huyo pengo na marehemu ni wote ni wafu tu, mmoja ni mfu aliye hai na mwingine ni mfu aliyekufa. Natamani hata na yeyey pengo aanguke hapo amfuate mungu wake wa chato.
Hata mimi na wewe ni marehemu watarajiwa.au NYIE NDIO WALE WATU WAZURI MSIOKUFA?
 
Yaani upuuzi kama huu, ni bongo tu. Bora utembelee kaburi la Nyerere, kuliko la huyu kenge. Kwanza alikuwa mkabila sana, kwa mara ya kwanza alihutubia kupitia tv kwa kisukuma, alikuwa mbaguzi sana. Kiongozi gani asiyeweza kujenga hoja, badala yake aliamua kuua tu.
 
Kw
Kwa hiyo wewe kama unamchukia unataka kila mtu amchukie.utakufa mdomo wazi na chuki zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…