Chato: Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, atembelea kaburi la Hayati Magufuli

Nakumbuka Pengo alivyoweka Kambi hoteli ya St. Gaspa Dodoma usiku kucha kuhakikisha Magufuli anateuliwa kuwa mgombea.
 
Pengo alikuwa rafiki wa karibu wa Magufuli
, Hata mara nyingi ndiye alitumika kuwaombea Msamaha wale wote waliokorofishana na jiwe
Hivi huyu Pengo si kuna kipindi aliukana waraka wa baraza la maaskofu uliokuwa uahimiza utawala wa sheria na halki za binadamu?
Nadhani muda mfupi baadae mh. Ruwaichi akateuliwa askofu mkuu mwandamizi wa DSM.
 


Sisi tulishaongea hayo tangu akiwa hai, kuwa hao WATU ni WASHENZI na alipaswa kuwa MAKINI. Sasa hivi yuko wapi?? Apumzike kwa amani 💜🖤
 
Rest in Peace the hideout rock of the oppressed refugees, the marginalized, and those maliciously and unjustifiably were intently undermined etc treated. Your mission was full of lesson packages for decades to come
 
Magufuli aliligawa taifa na ili kuulinda udhalimu wake na tabia zake za Kihutu aliasisi kikundi cha chawa(Sukuma gang) cha kumpigia debe 24/7 hivyo usishangae haya unayoyaona mitandaoni, hapa lile Hutu linatukuzwa zaidi ya maraisi wengine waliokwishafariki(JKN na BWM) kana kwamba yeye ndiye alikuwa bora zaidi yao. Hii inapelekea wahanga wa udhalimu wake nao kulipuka kwa hasira kwani kuona mtesi wao akipambwa huku ukatili na udhalimu wake vikifichwa, hii haitasaidia kwani waliodhulumiwa, waliojeruhiwa, waliopotelewa na ndugu zao, waliobomolewa nyumba bila ya fidia na waliotiwa ulemavu wengi wao wapo na wataendelea kuuanika udhalimu wake.
Mkapa hakuunda vikosi vya chawa hivyo usitegemee kuona akipigiwa debe, yule Muhutu alileta siasa za kwao Burundi za divide and rule na itachukua muda kwa watu wenye itikadi tofauti kuchukuliana kwamba tofauti zao ni kwenye mitazamo tu lakini wote ni Watanzania wenye kuipenda nchi yao.
 
..huenda Pengo anajua walipo Ben Saanane, Azory Gwanda, na wengine waliopotezwa na Jpm.

..huenda anawajua waliompiga risasi Tundu Lissu.

..Zipo taarifa kwamba Pengo aliongea na Magufuli na "alimsafisha" madhambi yake kabla hajafariki.
Duh 👀
 
Mkapa kasahaulika sana.
Mkuu hii kitu inakuwaje? Kiongozi au hata mwananchi wa kawaida akiwa mpole sana, mwenye kutenda wema na haki miongoni mwa watu, husahaurika upesi sana kuliko kinyume chake. Leo Hitiler hajasaulika na wengine wengi! Jamani hii inakuwa vipi?
 
Huyo pengo na marehemu ni wote ni wafu tu, mmoja ni mfu aliye hai na mwingine ni mfu aliyekufa. Natamani hata na yeyey pengo aanguke hapo amfuate mungu wake wa Chato.

Qoute “ there is freedom of speech, but i cannot guarantee freedom after speech”
 
Kati ya watu mavampaya ni kama huyu Cardinali Pengo ni kiongozi wa kidini lakini ni monster aliyejificha kwenye udini. Huyu alikuwa na ajenda yake na bwana Jiwe na kwakweli kifo chake kilimuumiza mno.
 
Kanisa Katoliki lianze mchakato wa kumfanya kuwa mwenye heri kama njia ya awali ya kutaka kumtakatifuza. Hatimaye aje aitwe Mwenye Heri Yohana Pombe Magufuli wa Chato.
Alivyokuwa monster Nani ampe utakatifu
 
Dunia ni makao ya muda mfupi ya mwanadamu hatuna cha kuringia
 
Kanisa Katoliki lianze mchakato wa kumfanya kuwa mwenye heri kama njia ya awali ya kutaka kumtakatifuza. Hatimaye aje aitwe Mwenye Heri Yohana Pombe Magufuli wa Chato.

Kanisa halishughuliki na siasa,huo utakatifu upewa wakatoliki tu kwa ambao waliyofanya mambo makubwa ya kiimani waliyolitendea kanisa kama nishani, watakatifu wote wa kikatoliki wamefanya makubwa ya kukumbukwa kiimani.
Thus hata Nyerere mchakato wake ulikufa.
Labda wapewe nishani za kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…