Wewe dada unamatatizo kwenye kichwa chako!Jeneza atakua amelinunua mwenyewe lakini kasabau kununua meza jeneza likae vizuri.
Ingekua zamani angeamuru sakafu iwekwe tyres haraka lakini kwa sababu ya corona mambo ndio hivo.
Mimi sijaandika neno jiwe.Mkuu pia jiwe hilo sio jina lake......
Kwa mujibu wa intelligensia, John Pombe Magufuli alihamia Chato kutokea Burundi akiwa tayari amezaliwa... kwa hiyo yeye na huyo marehemu ni watoto wa Mama mmoja lkn Baba tofauti, bye[emoji112]
Pole kwa msiba ila lazima ujiulize kwanini wameweka majina manne yote ya marehemu hii ni kuonyesha kuwa marehemu sio dada wake wa damu ila kwa hotuba ya jana ya Mbowe lazima itafutwe kitu ya kuipunguza makali.... kwa hiyo msibani jamaa lilkuwa ni lazima aendeTANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa
> Marehemu amefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020 huko Chato mkoani Geita
> Anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo - Chato mkoani Geita
======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka msibani katika mtaa wa Msilale Chato mkoani Geita mara baada ya kuaga mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita.
View attachment 1452969
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo Chato mkoani Geita.
View attachment 1452971
View attachment 1452976
La mumeweMkùu samahani mbona hili jina haliendani na jina la mkuu ?? Au sio dada wakuzaliwa?
komesha korona
Mayallla, naibu waziri anaapishwa lini? Nshachoka kusubiria hotuba.The right to privacy ya Rais Magufuli na familia yake uheshimiwe!. Sisi wa Africa na extended families zetu, nilipokuwa RTD, kila siku napata wageni toka kijijini kwetu, wameelekezwa mkifika mjini, yule Mtangazaji Pasco Mayalla wa RTD ni Kaka yenu!. Just imagine ndio nije niwe Raisi!.
RIP Gaudensia Felician Marko Msangwa.
P
Huyu atakuwa dada wa kijijini tu sio wa damu. APUMZIKE KWA AMANI.TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa
> Marehemu amefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020 huko Chato mkoani Geita
> Anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo - Chato mkoani Geita
======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka msibani katika mtaa wa Msilale Chato mkoani Geita mara baada ya kuaga mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita.
View attachment 1452969
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo Chato mkoani Geita.
View attachment 1452971
View attachment 1452976
Ndo nimekuandikia mkuu ujue hata jiwe hayo ya mbele sio majina yake.....Mimi sijaandika neno jiwe.
komesha korona
Umejichanganya mdau. Angalia hii ni habari ya lini, usikurupuke kuhukumu!Kutokana na Hii tabia ya watu kupandisha habari za Tanzia...
Serikali iifungie Jamiiforums... Mmiliki na Wafanyakazi wakamatwe...
Kuna watu wanalengo la kuleta taharuki na kupotosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ni ya muda mrefu... Angalia nyuzi za kwenye hili jukwaaUmejichanganya mdau. Angalia hii ni habari ya lini, usikurupuke kuhukumu!