TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

Walimwengu tuna tabu sana, akisaidiwa nongwa, asiposaidiwa nongwa.

Tuishi kwa hekima na walimwengu. Ingekuwa bonge la nyumba na msiba wenye vitu vya kitajiri msingekawia kusema kodi zetu.

Tuheshimu maisha binafsi ya watu wengine, kwa ufupi hayatuhusu.

Poleni wafiwa, pole Mh. mwenyekiti wangu wa chama chetu
 
Jeneza atakua amelinunua mwenyewe lakini kasabau kununua meza jeneza likae vizuri.

Ingekua zamani angeamuru sakafu iwekwe tyres haraka lakini kwa sababu ya corona mambo ndio hivo.
Wewe dada unamatatizo kwenye kichwa chako!
 
Hata Mwalimu JKN alipoteza mtoto wake wakati wa vita ya Iddi Amini lakini haikuondoa msimamo wa maamuzi.
 
Mmmmmmmmmmmmmmh
Kwa mujibu wa intelligensia, John Pombe Magufuli alihamia Chato kutokea Burundi akiwa tayari amezaliwa... kwa hiyo yeye na huyo marehemu ni watoto wa Mama mmoja lkn Baba tofauti, bye[emoji112]

komesha korona
 
TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa

> Marehemu amefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020 huko Chato mkoani Geita
> Anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo - Chato mkoani Geita

======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka msibani katika mtaa wa Msilale Chato mkoani Geita mara baada ya kuaga mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita.

View attachment 1452969

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo Chato mkoani Geita.

View attachment 1452971
View attachment 1452976
Pole kwa msiba ila lazima ujiulize kwanini wameweka majina manne yote ya marehemu hii ni kuonyesha kuwa marehemu sio dada wake wa damu ila kwa hotuba ya jana ya Mbowe lazima itafutwe kitu ya kuipunguza makali.... kwa hiyo msibani jamaa lilkuwa ni lazima aende
 
The right to privacy ya Rais Magufuli na familia yake uheshimiwe!. Sisi wa Africa na extended families zetu, nilipokuwa RTD, kila siku napata wageni toka kijijini kwetu, wameelekezwa mkifika mjini, yule Mtangazaji Pasco Mayalla wa RTD ni Kaka yenu!. Just imagine ndio nije niwe Raisi!.

RIP Gaudensia Felician Marko Msangwa.
P
Mayallla, naibu waziri anaapishwa lini? Nshachoka kusubiria hotuba.
 
TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa

> Marehemu amefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020 huko Chato mkoani Geita
> Anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo - Chato mkoani Geita

======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka msibani katika mtaa wa Msilale Chato mkoani Geita mara baada ya kuaga mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita.

View attachment 1452969

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo Chato mkoani Geita.

View attachment 1452971
View attachment 1452976
Huyu atakuwa dada wa kijijini tu sio wa damu. APUMZIKE KWA AMANI.

MADA NJE YA MADA:
Yaani mh. ubahili anajifanyia mpaka yeye mwenyewe?

Haoni hiyo kofia ni ya kumwachia kaka yake wa kijijini na yeye akanunua nyingine? Tena mbili ili awe anabadilisha ili zisifikie huo mpauko. Hata kama vyuma vimekaza, yeye ndo sura yetu huko duniani.
 
Kutokana na Hii tabia ya watu kupandisha habari za Tanzia...

Serikali iifungie Jamiiforums... Mmiliki na Wafanyakazi wakamatwe...

Kuna watu wanalengo la kuleta taharuki na kupotosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom