Mkuu Chahali, Msigwa ni mdogo wangu, for more than 10 years kwenye fani, hivyo mimi ni Kaka mkubwa kwake.
Hata hivyo kutangulia sio kufika, mtu anaweza kuwa ni mdogo kwako, umemtangulia, halafu akafanya mambo makubwa kuliko wewe ulitangulia, ndio kama kina Diamond na Msondo ngoma, hivyo Msigwa anafanya kazi nzuri.
Ila kuna vitu vya rais ambayo ni family related, vinaweza kuwa public na kuna vitu should be private kama zile picha za kulala kwenye majabali, ama Sunday worships, siku hizi rais akienda Kanisani its news!.
Pia kuna vitu vingi rais anafanya na anasema, they should be kwenye public, na kuna vitu rais alipaswa kuonekana kama tetemeko la Bukoba, mazishi ya askari jeshi wetu 14 wamekufa on the line of duty, CinC hayupo, alafu anaonekana anazindua tawi la bank?!.
Au kuna vitu vingi rais anatamka, he shouldn't kama kuwa expose jamaa zako in public etc, kwa sababu the guy is too young, hata akiona the boss ana kosea, hawezi kumrekehisha ndio maana he keeps repeating the same mistakes under the pretext, the boss is always right na mkubwa hakosei, hivyo sisi wakongwe wazoefu tumesaidia sana kushauri kupitia jf, kisha ukifanya follow up, una ona mabadiliko chanya, changing for the better na tunapongeza.
P.
Rejea
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums
Je, aachwe aseme tu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?!. - JamiiForums
Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila... - JamiiForums
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana! - JamiiForums
Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!. - JamiiForums
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe - JamiiForums