TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

Ninyi ndio mnasababisha viongozi wa AFRICA kuwa wezi sababu mnataka mtu akishakuwa kiongozi basi awajengee ndugu zake wooote mijumba ya kueleweka na awape maisha ya kueleweka wao kazi yao kutumbua kisa wana ndugu mtu mkubwa !

Mentality hii inachangia umasiki ,uvivu na kutojituma kwa jamii nyingi za kiafrika utasikia ohh ndugu yetu ana uwezo ila hatusaidii naona wewe ni mmoja wa miafrika mipumbavu tegemezi ambayo ndugu yako akiwa mtu mkubwa au anacho unamkodolea mimacho kama unamdai kuwa akusaidie hujitumi mwenyewe uondokane na hali duni yako na aspokupa ulivyo na akili ya kilofa unanuna utafikiri yeye ndie alikutuma ubweteke jinga wewe

Kifupi una mentality mbaya na ya roho ya kimaskini ya uhakika ambayo ukibaki nayo hata muwe na ndugu mwenye uwezo mtamshusha chini sababu kila mtu atamnyonya anataka msaada akifilisika mtasema ohh kazi yake ilikuwa kujionyesha tu kwa ndugu kuwa ana hela

pesa anazotoa raisi zinatoka fungu la donation la raisi anapotoa kwenye community chache sana hutoka mfuko wake binafsi
Nakushukuru sana umemjibu kwa maneno ambayo nami ningeyatumia,umeniwakilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marehemu anastahili heshima, hivyo kama haijatajwa sababu ya kifo, msimsingizie marehemu kuwa ni Corona!.

Kitu kizuri nime kinote kuhusu Chato, wana good class na executive coffins, ila hakuna florists, hivyo hiyo ni fursa.
P

Ila we jamaa unajifanya mjuaji sana,kila kitu unajifanya unaelewa kuliko wengine


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mtu analeta mbwembwe kumbe Corona inachakata familia kama haina akili nzuri. Yani inachakata kama kichaa halafu aliyelogwa! Ushawahi kuona kichaa halafu anaongezewa na uchawi juu? Basi ndo jinsi Corona inavyochakata ile familia. Bora hata sisi wengine.

Na huyu mzee hata ikitokea bahati mbaya mke wake afe kwa Corona bado hataelewa! Ndivyo alivyo! Wewe chukua tahadhari usimfuate mtu eti anakupongeza kwa kutokuvaa barakoa halafu unamshangilia!
Lakini jana mwenyewe kakumbuka maneno ya JK kuwa " unapaswa kuwa na akili kama za mbayuwayu" yaani za kuambiwa changanya na zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The right to privacy ya Rais Magufuli na familia yake uheshimiwe!. Sisi wa Africa na extended families zetu, nilipokuwa RTD, kila siku napata wageni toka kijijini kwetu, wameelekezwa mkifika mjini, yule Mtangazaji Pasco Mayalla wa RTD ni Kaka yenu!. Just imagine ndio nije niwe Raisi!.

RIP Gaudensia Felician Marko Msangwa.
P
unajikomba sana,punguza upambe
 
Naona mambo yanaenda haraka mno.tuwaulize wenyeji je ndio desturi zenu mtu akifa jioni asubuhi anazikwa? Au kuna kitu nyuma ya pazia.
 
Mkuu Chahali, Msigwa ni mdogo wangu, for more than 10 years kwenye fani, hivyo mimi ni Kaka mkubwa kwake.

Hata hivyo kutangulia sio kufika, mtu anaweza kuwa ni mdogo kwako, umemtangulia, halafu akafanya mambo makubwa kuliko wewe ulitangulia, ndio kama kina Diamond na Msondo ngoma, hivyo Msigwa anafanya kazi nzuri.

Ila kuna vitu vya rais ambayo ni family related, vinaweza kuwa public na kuna vitu should be private kama zile picha za kulala kwenye majabali, ama Sunday worships, siku hizi rais akienda Kanisani its news!.

Pia kuna vitu vingi rais anafanya na anasema, they should be kwenye public, na kuna vitu rais alipaswa kuonekana kama tetemeko la Bukoba, mazishi ya askari jeshi wetu 14 wamekufa on the line of duty, CinC hayupo, alafu anaonekana anazindua tawi la bank?!.

Au kuna vitu vingi rais anatamka, he shouldn't kama kuwa expose jamaa zako in public etc, kwa sababu the guy is too young, hata akiona the boss ana kosea, hawezi kumrekehisha ndio maana he keeps repeating the same mistakes under the pretext, the boss is always right na mkubwa hakosei, hivyo sisi wakongwe wazoefu tumesaidia sana kushauri kupitia jf, kisha ukifanya follow up, una ona mabadiliko chanya, changing for the better na tunapongeza.

P.
Rejea
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums

Je, aachwe aseme tu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?!. - JamiiForums

Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila... - JamiiForums

Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana! - JamiiForums


Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!. - JamiiForums

Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe - JamiiForums
Haya yote hayajasidia kupata uteuzi, mmoja kashauri vifo vya koona visitangazwe karudishwa sebuleni kutoka uwani, tumia njia tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisema sijazika mtu yeyote mtaani kwetu .NI KWELI MTAANI KWETU hadi LEO HII HATUJAZIKA MTU NA HAKUNA ALIYEKUFA TOKA CORONA IANZE HUYO nilienda mzika makaburi ya kola morogoro sijasema mtaani kwangu

Kola sio Rona kweli? Maana kuna roumors balaa watu wanazikwa usk
 
TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa

> Marehemu amefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020 huko Chato mkoani Geita
> Anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo - Chato mkoani Geita

======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka msibani katika mtaa wa Msilale Chato mkoani Geita mara baada ya kuaga mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita.

View attachment 1452969


Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo Chato mkoani Geita.

View attachment 1452971
View attachment 1452976
Pole sana mheshimiwa Raisi, kifo ni kitu ch ajabu sana, najua umeumia, mume wake kaumia na watanzania tumeumia kwa ujumla, Tunakuombea moyo wa uvumilivu kipindi hiki kigumu kwako na wanafamilia yako, POLE SANA BABA YETU JOHN MAFUGULI, tunakupenda sana!
 
Back
Top Bottom