Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hata hilo jeneza ni mbwembwe tu! Wangeilaza maiti kwenye kitanda cha kamba.jeneza likiwekwa kwenye meza nzuri.likapambwa maua ya dhahabu na kuwekwa msalaba wa almasi nk ndio inakuwaje marehemu ndio anafufuka au? mbona hujauliza kuwa msalaba huuoni?
mtu akifariki kafariki tu kinachofuata mazishi zingine mbwembwe tu hizo pesa za mbwembwe heri wawe wanakabidhiwa wafiwa waliobaki sababu watu wakishazika huwaoni tena nyumbani kwa wafiwa tena tangazo hutolewa makaburini palepale kuwa hapa tushamaliza kuzika tunashukuru umati mliohudhuria na mamilioni ya michango mliyotoa tumemaliza kuzika salama kila mtu aende kwake tutakuwa na tanga ndugu ambalo ndugu tu wa karibu watahusika nalo hapo ndio imetoka hiyohuji waona nyumbani msibani milele Kama mamilioni uliyochangwia uliyatumia kwenye mbwembwe utakula jeuri yako baada ya msiba
Acha kutuunganisha kwenye ujinga wako.Pole sana mheshimiwa Raisi, kifo ni kitu ch ajabu sana, najua umeumia, mume wake kaumia na watanzania tumeumia kwa ujumla, Tunakuombea moyo wa uvumilivu kipindi hiki kigumu kwako na wanafamilia yako, POLE SANA BABA YETU JOHN MAFUGULI, tunakupenda sana!
Hii habari sijaiona kwenye gazeti lolote leo Jumatatu. Nafikiri ni habari ya uongo kutoka ulimwengu wa Twitter.TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa
> Marehemu amefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020 huko Chato mkoani Geita
> Anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo - Chato mkoani Geita
======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka msibani katika mtaa wa Msilale Chato mkoani Geita mara baada ya kuaga mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita.
View attachment 1452969
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo Chato mkoani Geita.
View attachment 1452971
View attachment 1452976
Duu! Pole nyingi kwa Mheshimiwa pamoja na ndugu na jamaa wote wa familia ya marehemu! Mola wetu aipumzishe roho ya marehemu kwa AMANI!TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa
> Marehemu amefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020 huko Chato mkoani Geita
> Anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo - Chato mkoani Geita
======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka msibani katika mtaa wa Msilale Chato mkoani Geita mara baada ya kuaga mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita.
View attachment 1452969
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo Chato mkoani Geita.
View attachment 1452971
View attachment 1452976
Inapoonekanaga.Utaiona wapi?
huo ndo ukweli. ndugu kama ana nafasi akupe ndoano ukavue samaki mwenyewe. akupe mchongo wa ajira/mtaji ili ukomae mwenyeweDuh!!!nyumba haijaisha.kweli kupata kwa ndugu sio mwisho wa umasikini....
Hata Mimi ni ndugu yako bwana, afrika ni moja.The right to privacy ya Rais Magufuli na familia yake uheshimiwe!. Sisi wa Africa na extended families zetu, nilipokuwa RTD, kila siku napata wageni toka kijijini kwetu, wameelekezwa mkifika mjini, yule Mtangazaji Pasco Mayalla wa RTD ni Kaka yenu!. Just imagine ndio nije niwe Raisi!.
RIP Gaudensia Felician Marko Msangwa.
P
TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa
Zile grand Malta za Madagascar zilikuwa zao mbona hamjiulizi kwanini kajiisolate mda mrefu
MONEY STOP NONSENSE
Kapi hako?kumbe jiwe bado tuu anaendelea na kale kamchezo kake?...………...ahaaaaa !!!