TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

Hii kitu sija iamini hadi nuda huu
 
Kimzaha mzaha tutapigiwa wimbo wa taifa mchana.
Haka kaugonjwa kadogo endeleeni kukadharau.
 
Kwa hiyo huyu ni dada wa ukoo tu (extended family member)?
 
Tuache unafiki, kwa hiyo siku za nyuma walipokuwa wanatujulisha ilikuwa ni jambo la kitaifa?

Yeye kama kiongozi wa kitaifa anapopatwa na matatizo ni uungwana kufahamishana. Mie balozi wa nyumba 10,nikifiwa watu wangu wa mtaa wasijulishwe. Ndiyo maana huko vijijini kengele hugongwa kutoa taarifa.

Utanzania wetu usipotee kisa wewe ni praise team tu.
Nakubaliana na wewe kabisa ,naweka na msisitizo kabisa Msiba sio Jambo la kitaifa ambalo kila mtu lazima ajue.

Sent using iphone pro max
 
Zile grand Malta za Madagascar zilikuwa zao mbona hamjiulizi kwanini kajiisolate mda mrefu

MONEY STOP NONSENSE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…