TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

Acha kiherehere, mbona wewe na Msigwa ndiyo mlikuwa mkipiga picha na kusambaza kwenye social media? Shwain
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari sana, It appears ni ghafla au siyo
 
Habari hii mbona inatia shaka kidogo! Mbona hakuna aliye vaa barakoa? Hali ilivyo sasa hivi kuna Mtanzania yeyote anaweza kudhulia kwenye misiba bila ya kuvaa facemask.
 
Hii habari kipindi hiki, RIP Mama Gaudensia Felician Marko Msangwa.
 
RIP Mama Gaidensia
Nauliza,huu Msiba umetokea lini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kumbuka huyu ni Rais, so kila kitu lazima tujue, je watu maarufu kama akina Kikwete, Mkapa na wengine akina sisi tutahudhuriaje ikiwa tutafichwa.?
Wanaweza kupewa taarifa kwa njia ya simu au njia nyingine yoyote lakini si lazima kila mtu ajue
 
Sijaelewa lengo la uzi.Ni taarifa au ombi la kushirikisha msiba? Apambane kivyake kwani wengi wanakufa kila uchao!
 
Huku Africa mwanamke akishaolewa huwa anahama ukoo. Hubadili jina la baba na babu, pia kama ni imani tofauti hubadili pia.

Ila sio wote
Hizi mila ndo zilisababisha watoto wa kike waonekane hawana maana. Yaani mtu akiwaza mali zake alizochuma kwa shida ampe mtoto wa kike ili abebe jina la mumewe?
RIP dada wa Kiongozi wetu.
 

Bwana Pasko, picha zimetolewa na Ikulu. Does it mean una uelewa mkubwa kuhusu "right to privacy ya Rais Magufuli" kuliko wasaidizi wake like Msigwa?
 
Hizi mila ndo zilisababisha watoto wa kike waonekane hawana maana. Yaani mtu akiwaza mali zake alizochuma kwa shida ampe mtoto wa kike ili abebe jina la mumewe?
RIP dada wa Kiongozi wetu.
Michelle Obama
Hilary Clinton
Melanie Trump
Nawaza kwa sauti tu, watakuwa waafrika na mila zao za kijinga.
 
Pole raisi Magufuli kwa kufiwa na dada yako.

RIP Gaudensia Felician Marko Msangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…