TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

Kumbe hata hilo jeneza ni mbwembwe tu! Wangeilaza maiti kwenye kitanda cha kamba.
 
Acha kutuunganisha kwenye ujinga wako.

Mapigo yaendelee tunakuomba ee Baba.
Iwe kama nyakati za Farao.
 
Hii habari sijaiona kwenye gazeti lolote leo Jumatatu. Nafikiri ni habari ya uongo kutoka ulimwengu wa Twitter.
 
Du
Duu! Pole nyingi kwa Mheshimiwa pamoja na ndugu na jamaa wote wa familia ya marehemu! Mola wetu aipumzishe roho ya marehemu kwa AMANI!
 
Sasa Mzee si ungetuambia tu umekwenda kumuuguza dada yako, sisi tungekuelewa tu jamani watanzania tuna roho ya upendo mno. Pole sana Rais wetu, Pumzika kwa amani shangazi yetu (RIP)
 
Acheni kuleta TAHARUKI, watu wa jamhuri ya Chato hawafagi.
Pigeni kazi mlipe kodi.
 
Hata Mimi ni ndugu yako bwana, afrika ni moja.
 
Hapo ndio nyumbani kwa shemeji wa mzee!
R. I. P mama yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…