CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

Kwan ni wewe mwenyewe au ndugu yako unayetaka akasain bumu mara ya tatu?
Kama vyuo na shule vilifungwa wakati hata wagonjwa 15 hawajafika, itakuwa ni upuuzi wa PhD kama vitafunguliwa now kwenye wagonjwa almost 32 na kuendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe corona itakufata ulipo hata ujilock uvunguni,Shenzy

Kwa jina la Yesu utashindwa zaidi ya kushindwa, nenda hata kwa waganga wako watengeneze iyo corona feki, kwa damu ya Yesu nakuhakikishia hamnipati wewe na corona
 
Watanzania msiwe mnasoma nyuzi za watu kwa mihemko, jaribu kutulia na kuuelewa uzi, si kila jina la kitabu lisadifu yaliyomo ndani.

Naona wengine mlilikimbia somo la kiswahili hasahasa fasihi.

Pole yenu msiojua kuchambua mawazo
 
Hii nchi ni yetu sote hakuna aliyemilikishwa, tunahitaji kujadiliana tu siyo kuleta threads kama za huyu jamaa, maana ni upupu tu, siyo kila jambo ni siasa tu
 
Someni andiko lote la mleta mada kisha tafakari nia ya mleta maada. Hapo utagundua kwamba mleta mada anatoa ujumbe tofauti. Lakini ukisoma tu kichwa cha habari hautoelewa nia ya muandishi
Kama umesoma mpaka mwisho, mtoa mada anasema tufuate ushauri wa wataalamu wa afya, moja ushauri wao wanasema tujiepushe na misongamano, huoni mtoa mada anajipinga? Anasifia kitu ambacho mwenyewe hakielewi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaoshadadia lockdown either wanamadeni makubwa na wameshindwa kuyalipa so pona yao ni kusikia lockdown inatekelezwa wajipongeze na wakwepe deni ama ni wale wloshindwa kutimiza majukumu yao na wavivu so lockdown ndo njia pekee no kujificha ndani..
 

Kaa kimya huelewi uzi unataka Nini, unakurupuka kuandika tu, soma na tafakari Kwanza dhumuni la mwandishi
 
H.T.P,
H.T.P
Kwani hujajua kuwa huo ni usanii mtupu wa utawala wa serikali ya awamu ya tano?

Iweje leo "dono kantre" iogope wananchi wake watakufa njaa, kama tutaweka lockdown?
 

Kalaga baho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…