Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
My God
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini aligoma kufunga tangu mwanzoni?Kwa hili hata mimi namuunga mkono, kufunga mipaka sasa hivi kutaiweka Tanzania pabaya kuliko ilipo hivi sasa.
Sina nia ya kugombana nawe, wala na mtu mwingine yeyote. Wewe unaona ni sahihi ulivyoiingiza CCM kwenye bandiko lako? Kama nimeshindwa kuupata ujumbe wako kwa namna sahihi uliyokusudia - bear with me.Unagombana na mtu usiyemjua,unanijua Mimi? Mbona unanipangia cha kuandika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je hizo nchi nane wao wamefunga mipaka au wameiachia...!?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jamaaa anakera natamani corona imfuate huko huko alipo imchukue imtafune hvi ni mwanadamu kweli huyu au jinamizi tumeletewaAjue kuwa watu wanakufa! Hizo nchi anazosema kuwa zinaitegemea Tanzania ajue baadhi wameshafunga mipaka ingawa kwao hakuna maafa kama kwetu! Mwambieni aelewe kuwa vilevile kauli za kuudhi kama hizi siyo lazima azitoe hadharani. Huyu mtu sijui ubinadamu aliuachaga wapi!
Leo nimeshinda naangalia Cnn wataalamu wamesema social diastancing imeonekana kuwa inafanya kazi vizuri Usa. Kwa Africa hii ni ngumu kama kutatokea maambukizi makubwa. Tumuombe Mungu atusaidie.Ok
Lakin tuhakikishe tunanawa mikono yetu kila Mara kwa maji na sabuni.
Sent using Jamii Forums mobile app