CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

Hili wazo lako la kukaa mbalimbali litasababisha madhara. Kumbuka kuna nchi 8 zinatutegemea. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
..pia watu wote walazimishwe kavaa face mask, vitambaa, kukinga pua na mdomo.

..hatua yoyote ya tahadhari ambayo iko ndani ya UWEZO wetu tusiache kuichukua.
Sasa utapata wapi pesa za kununua hizo mask. Kaendelee kuchapa kazi achana na mambo ya kuvaa maski. Chapa kazi kuna nchi zinatutegemea.
 
Hii nchi hatupo seriaz saiv tunapeana kauli za kishujaa

Yakifika kama ya Italy na Spain tutaanza kuuza kesi kwa Mabeberu na wapinzani
Kuna mstari mwembamba unaotenganisha ushujaa na ujinga, huwezi kumwona simba mwenye njaa amelala ukaenda kuminya kengele zake
 

Haijalishi ata aseme hatafunga mipaka na hakuna lockdown, wananchi wenyewe wanaangalia upepo unavyopiga hali ikibadilika zaidi wataanza lockdown wenyewe bila ya kuambiwa
 
Sasa utapata wapi pesa za kununua hizo mask. Kaendelee kuchapa kazi achana na mambo ya kuvaa maski. Chapa kazi kuna nchi zinatutegemea.

..tuwe wabunifu.

..tunaweza kutengeneza za vitambaa.

..tufanye yaliyoko ndani ya uwezo wetu.

..pia tusitoe kauli za kupuuzia ugonjwa huu, kwani ni hatari.

..kwa mfano nimemsikia Raisi akasime Covid19 ni " kaugonjwa ". Nadhani siyo sahihi kusema hivyo.
 
Hongera sana Rais Pombe.

Wewe Ni kiongozi usiyeongozwa na hisia. Una tabia za uongozi ( acha wanaolalamika walalamike tu maana Ni kazi yao )

Mwagize Ndalichako atangaze wanafunzi warudi vyuoni, #Hapa kazi tu.

Tunamtumaini Mungu. Na hajawahi kutuacha tumeonesha imani kwake.

Vyuo vifunguliwe maana na vyenyewe Ni sehemu ya kazi.

Tuchukue Tahadhari juu ya Corona, tuwasikilize wataalamu wetu wa afya
 
baada ya wiki mbili watanzania wataimba haleluya CORONA SIO MCHEZO KAMA TANGAZO LA SALAM NA MWANA FA


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mask siyo kama khanga mkuu. Zina utaalam wake. Ingekuwa ni kitambaa hata leso ingefaa.

Muhimu hapa ni kuwa tuna nchi zinatutegemea. Sisi tuchape kazi tu ili nao wenzetu wasije wakapata madhara.
 
Hata mimi nashangaa watu wanalalamika kuwa kwa nini hakuna lockdown. Hivi si wakae nyumbani? Tumeambiwa tufate taratibu za kujikinga ambazo zinajulikana watu hawafati wanataka kulazimishwa. Watanzania Sisi ni watu wa ajabu sana
 
Wewe mdanganye tu baba wa watu watoto wakifa unafikiri tutamdai shetani..?

Kwa unadhani yeye hapendi kuendelea kupiga picha juu ya mawe? Wewe ropoka ropoka tu wakati unajua kuna korona imeanza kutamalaki
 
Mura unataka kusema hujui njia za kujikinga na huu ugonjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…