Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

[emoji380][emoji1633][emoji900] nahamia chato
 

Serikali inatumia kigezo gani kujenga Chato na sio kwingineko? I suggest this to be halted. Why do we encourage divisions for no good reasons?
 
Bado kimoko tu mh namuomba afanyie kazi hapo chatto!!

Akiweka flyover na mbembeo wa kama Jamaica, hiyo itawavuta wengi duniani Wenye mlengo wa kama aliyekuwa mtangulizi wake kuja kutalii hapo Chatto
 
Uwanja wa mpya wa Dodoma ushaanza kujengwa
 
Daaaaah,game za taifa stars sasa kuoigiwa Chato!😁😁😁😁
 
Kwani kwingine hajengi miundo mbinu au mnajitoa ufahamu !
 
Ni sawa na ukiwezekana wasajili timu ya npira wa miguu,chato fc,na ipandishwe hadi supa ligi.Tayari makanpuni yenye mahoteli makubwa yameomba viwanja kuwekeza mahoteli makubwa
 
Hali ya viwanda vipi Chato? vijengwe japo 10 au 15 ivi viendane na hii kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…