Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

😨😨😨 😨😨 et utalii?kitu gan sasa kitakacho mfanya mzungu aje ashangae uwanja? Ama utakuwa na utofauti na viwanja vingne dunian??

Hizo ela si bora atoe maji ziwa Victoria asambaze chato nzima
 
Viongozi wetu wamekuwa wanaropoka sana mpaka you feel uneasy to listen to them. They make me feel embarrassed at times!!
 
[emoji32][emoji32][emoji32] [emoji32][emoji32] et utalii?kitu gan sasa kitakacho mfanya mzungu aje ashangae uwanja? Ama utakuwa na utofauti na viwanja vingne dunian??

Hizo ela si bora atoe maji ziwa Victoria asambaze chato nzima
Labda utakuwa zaidi ya Wembley!
 
Huu ni UPUMBAVU wa hali ya juu kutumia between $400 millions to $500 millions kujenga uwanja eti kuvutia watalii.
Hii awamu msipougua kisukari na presha basi lazima muokote makopo
 
Back
Top Bottom