Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 527
maana halisi ya ule wimbo ' chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi' sidhan km hata kuna timu ya daraja la tatu huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itafahamika tu MKUU , Historia inajirudia na sasa tuna MOBUTU SESESEKO KUKU NGBENDU WAZABANGA WA PILI.Sielewi why post yk ina laiks chache!
Tunajaribu kuwapa na mifano. Mobuth alipokuwa madarakani kule kwao alipojenga saiv kunaendeleaje?[emoji3][emoji3], Yaani mnataka maeneo ambayo hayana watu yazidi kuwa nyuma kimaendeleo? Huo uwanja wa mpira, hifadhi ya burigi na traffic lights zitafanya watu wahamie Chato
MkuuHakuna timu yoyote huko uswekeni uwanja wa michezo wa mabilioni ya walipa kodi wa nini!? Another white elephant.
Matumizi mabaya ya madaraka kujenga uwanja wa ndege Chato. Matumizi mabaya ya madaraka kupeleka ndege kubwa kama hii chato hakuna chochote pale. Sheria ya Uhujumu uchumi, kuendesha genge la uhalifu inachagua pa kufanya kazi. Hapa ndipo penyewe ianze. Huu ni uhujumu Uchumi.Huu ni UPUMBAVU wa hali ya juu kutumia between $400 millions to $500 millions kujenga uwanja eti kuvutia watalii.
Unamaanisha yule beberu aliyechana picha ya mgombea wa ubunge?Maajabu ya Dunia!
Yaani Beberu atoke ubeberuni aje Chato kushangaa uwanja wa mpira?
Nisawa na Beberu aje kushangaa magholofa ya kariakoo.
😂😂😂😂Unamaanisha yule beberu aliyechana picha ya mgombea wa ubunge?