Panandi panandi
New Member
- May 17, 2019
- 3
- 1
Kila kitu chato, hakikaka mtu kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhamishwe na mlima Kilimanjaro uhamie huko.
Hujazaa tu ?!
Utaelewa tu hata kama hutaki kuelewa.Kwamba uwanja wa mpira uhamasishe wawekezaji hasa watalii? Hapa sijaelewa
Chato Kuna club ya ligi kuu au ndo mwakyembe ajipange..... Any way tutakipiga ndondo
Kama ni kweli basi hii ni red flag kuwa kuna tatizo sehemu labda namna ya kufikiri iko tofauti. Tanzania tuna viwanja vya mipira vingi sana na sijui kama kuna kiwanja ambacho kinaweza kuwekwa kwenye kundi la kuhamasisha utalii, tukianzia Arusha, Tanga,DSM,Mbeya,Morogoro,Tabora,Mwanza,Bukoba,Songea,Iringa n.k. Tukichukulia miji ya kitalii ama iliyo karibu na mbuga za wanyama kama arusha na Iringa sijaona uhusiano wa kuwepo viwanja vya mipira na kuhamasisha utalii. Pili, viwango vyetu FIFA ni chini sana, hata Africa na tumeona karibuni AFCON 2019 tumetoka kapa. Hata tukibaki wenyewe afrika mashariki hatuna cha kujivunia bora hata hizo pesa za kujenga kiwanja zitumike kuanzisha timu ya taifa itakayokuwa tishio miaka 5 ijayo.CHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI
Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga Uwanja wa mpira wa Chato Stadium ambao amedai utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya Tanzania
---------
Serikali imetangaza kujenga uwanja mkubwa wa mpira wilayani Chato, mkoani Geita ili kukuza sekta ya michezo nchini na kuvutia watalii na wawekezaji. Uwanja huo unatarajiwa kuwa wa pili kwa ukubwa baada ya wa Benjamin Mkapa ulipo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nishati Medard Kalemani amesema hayo wakati akihutubia sherehe za uzinduzi wa Hifadhi ya taifa ya Burigi-Chato na kueleza kwamba uwanja huo utaitwa Chato Stadium na ujenzi wake unatarajiwa kuanza hivi karibuni.
"Hivi karibuni tunajenga Uwanja wa mipra Chato Stadium ambao utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya nchi yetu" amesema Waziri Medard Kalemani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Apeleke na mademu wazuri chato
wetu utakuwa unaelea anganiHivi uwanja wa mpira unahamasishaje watalii?
Yaani watalii waache huko kwao kwenda kushangaa Wembley Stadium waje washangae Chato Stadium?
Haya bana.
CHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI
Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga Uwanja wa mpira wa Chato Stadium ambao amedai utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya Tanzania
---------
Serikali imetangaza kujenga uwanja mkubwa wa mpira wilayani Chato, mkoani Geita ili kukuza sekta ya michezo nchini na kuvutia watalii na wawekezaji. Uwanja huo unatarajiwa kuwa wa pili kwa ukubwa baada ya wa Benjamin Mkapa ulipo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nishati Medard Kalemani amesema hayo wakati akihutubia sherehe za uzinduzi wa Hifadhi ya taifa ya Burigi-Chato na kueleza kwamba uwanja huo utaitwa Chato Stadium na ujenzi wake unatarajiwa kuanza hivi karibuni.
"Hivi karibuni tunajenga Uwanja wa mipra Chato Stadium ambao utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya nchi yetu" amesema Waziri Medard Kalemani.
1. Bandari ya kisasa ya uvuvi CHATONchi imeingiliwa na mkoloni mweusi,nafuu na mkoloni mweupe alikuwa anafanya mambo kwa kubalansi, uwanja wa ndege Chato, hifadhi ya burigi Chato, bandari Chato,Crdb Chato,uwanja wa kisasa wa mpira Chato, hivi siku akiachia madaraka akasema kuwa vitu vyote hivyo amejenga kwa fedha zake binafsi,ndio maana kajenga kwake na kutaka kodi ilipwe kwake yeye ndiye achukue kwakuwa ni mali yake nani atambishia?.
Hahah kama hivyo sawa.wetu utakuwa unaelea angani