Konzo Ikweta
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 735
- 1,467
Tutaelewana tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah!Ninakumbuka marehemu mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyamapla wa barabara na si vinginevyo sasa yametimia
GBADOLITE in the MAKING.
hili stadium kama Camp Nou vile; yani ramani ni copy and pasteTutaelewana tu.View attachment 1149956
Wajenge na BahariTutaelewana tu.View attachment 1149956
Ninakumbuka marehemu mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyamapla wa barabara na si vinginevyo sasa yametimia
Kuna tofaut kati ya:CHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI
Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga Uwanja wa mpira wa Chato Stadium ambao amedai utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya Tanzania
---------
Serikali imetangaza kujenga uwanja mkubwa wa mpira wilayani Chato, mkoani Geita ili kukuza sekta ya michezo nchini na kuvutia watalii na wawekezaji. Uwanja huo unatarajiwa kuwa wa pili kwa ukubwa baada ya wa Benjamin Mkapa ulipo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nishati Medard Kalemani amesema hayo wakati akihutubia sherehe za uzinduzi wa Hifadhi ya taifa ya Burigi-Chato na kueleza kwamba uwanja huo utaitwa Chato Stadium na ujenzi wake unatarajiwa kuanza hivi karibuni.
"Hivi karibuni tunajenga Uwanja wa mipra Chato Stadium ambao utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya nchi yetu" amesema Waziri Medard Kalemani.
😀😀, Yaani mnataka maeneo ambayo hayana watu yazidi kuwa nyuma kimaendeleo? Huo uwanja wa mpira, hifadhi ya burigi na traffic lights zitafanya watu wahamie ChatoAt least ungejengwa katika eneo ambalo lina population kubwa. Chatooo??? Serious?