Kitandu Nkoru
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 885
- 973
siyo hivyo tu,baada ya hapo tutajenga na bahari kubwaJengeni na mlima mrefu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo hivyo tu,baada ya hapo tutajenga na bahari kubwaJengeni na mlima mrefu kabisa
siyo hivyo tu,baada ya hapo tutajenga na bahari kubwaJengeni na mlima mrefu kabisa
Imenikumbusha mbali sana. Tulipokuwa na washikaji kwenye viwanja vya serikali"...there I remember when we used to seat in the government yard in trench town..oba observing the Hippocrates..."
No woman no cry...( Bob Marley)
Suala la ajira siyo Tanzania pekee mkuu labda jambo lingine.
MmmhCHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI
Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga Uwanja wa mpira wa Chato Stadium ambao amedai utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya Tanzania
---------
Serikali imetangaza kujenga uwanja mkubwa wa mpira wilayani Chato, mkoani Geita ili kukuza sekta ya michezo nchini na kuvutia watalii na wawekezaji. Uwanja huo unatarajiwa kuwa wa pili kwa ukubwa baada ya wa Benjamin Mkapa ulipo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nishati Medard Kalemani amesema hayo wakati akihutubia sherehe za uzinduzi wa Hifadhi ya taifa ya Burigi-Chato na kueleza kwamba uwanja huo utaitwa Chato Stadium na ujenzi wake unatarajiwa kuanza hivi karibuni.
"Hivi karibuni tunajenga Uwanja wa mipra Chato Stadium ambao utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya nchi yetu" amesema Waziri Medard Kalemani.
Safi sana, charity begins home.
Hahahahaaa, watu na maneno yao.Nawe gombea urais ujenge kwenu maenge
Chato ilitakiwa ijengwe wodi ya Vichaa na Majuha na si uwanja wa mpira!Ninachojiuliza tayar tulikuwa na mpango wa kujenga uwanja mkubwa pale Dodoma na hadi ikulu raman ilifika na kutangaziwa kuwa utakuwa mkubwa kuliko wa Mkapa je umeshia wapi au tumebadili gia angani?
Mfano Kuna nyuzi siku hizi sitaki kabisa kuzifungua,ni ushenzi wa kiwango Cha juu Sana waimba mapambio wanaandika, haijalishi ni siasa ila zinanijaza hasira kuu na kuzidi kumchukia huyu meko na the whole government.sasa hii Tena asee!mzee kaja kuumiza watanzania matumbo hakika.waTanzania mnajiskiaje??
Mfano Kuna nyuzi siku hizi sitaki kabisa kuzifungua,ni ushenzi wa kiwango Cha juu Sana waimba mapambio wanaandika, haijalishi ni siasa ila zinanijaza hasira kuu na kuzidi kumchukia huyu meko na the whole government.sasa hii Tena asee!mzee kaja kuumiza watanzania matumbo hakika.
Namkumbuka Mobutu seseseko haha haaaaCHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI
Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga Uwanja wa mpira wa Chato Stadium ambao amedai utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya Tanzania
---------
Serikali imetangaza kujenga uwanja mkubwa wa mpira wilayani Chato, mkoani Geita ili kukuza sekta ya michezo nchini na kuvutia watalii na wawekezaji. Uwanja huo unatarajiwa kuwa wa pili kwa ukubwa baada ya wa Benjamin Mkapa ulipo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nishati Medard Kalemani amesema hayo wakati akihutubia sherehe za uzinduzi wa Hifadhi ya taifa ya Burigi-Chato na kueleza kwamba uwanja huo utaitwa Chato Stadium na ujenzi wake unatarajiwa kuanza hivi karibuni.
"Hivi karibuni tunajenga Uwanja wa mipra Chato Stadium ambao utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya nchi yetu" amesema Waziri Medard Kalemani.
Duh,anyway! sishangai sana.kumbuka anateua vichaa vichaa tupu.View attachment 1149930
Eti wapewe Elimu Ha hah! shule za binaadam madawati hamna mnataka kutoa Elimu kwa wanyama?🤔
Hii rahisi tutamwaga kifusi tu utauzidi Kilimanjaro kwa 100ft,mlima chato wapi Mfugale njoo design.Wasisahau kujenga na Mlima Chato...? Mambo ni fire
At least ungejengwa katika eneo ambalo lina population kubwa. Chatooo??? Serious?Ni mkoa gani ambako Kuna kiwango kikubwa Cha soccer ili ukajengwe huko?
Ndiyo maana watu wananyimwa pension zao ili wajifie mbali; na wao wachezee mpira!CHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI