Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

CHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI‬

‪Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga Uwanja wa mpira wa Chato Stadium ambao amedai utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya Tanzania
Vipi ule wa mfalme umefikia hatua gani
 
Tuwe wakweli tu hapa.....haya ni maamuzi ni kishezi hayazingatii weledi wala nini! tatizo la wananchi wa Chato sio uwanja wa mpira!
 
Akiondoka madarakani inakufa kifo cha mdudu mende
Ikifa maana yake uongozi ni mbovu umeshindwa kusimamia Mambo. Basi bora yeye aendelee kuwepo 🤣🤣🤣🤣
 
😳😳😳angekuwa ana uwezo wa kusimamia mambo wafanyakazi, wakulima, wafanyabiashara nchini wangelia? Uchumi ungeporomoka? Graduates wangepiga lami mtaani kwa ukosefu wa ajira?

Sawa mkuu, una point lakini viwanja navyo vinahitajika
 
Serikali hii imejaa waongo wa kupindukia kuanzia yeye mwenyewe dikteta wa Ikulu na subordinates wake wote, na huu hapa ni uthibitisho wa uongo wake na yaliyofuata wote tunayajua.

Mbona hilo tatizo limeshaisha. Wakuu wetu wa mikoa wanalishughulikia ipasavyo
 
Huu ni zaidi ya ufisadi, walisema kati ya awamu zote awamu hii itavunja rekodi kwa kutumbua pesa za uma, chato hukuna timu inayocheza ligi kuu halafu unajenga na uwanja daah.
 
Mmmmh, au inataka kuungana na kijijinchi cha jirani nini?
Isije ikawa kama Kongo mashariki.

Tahadhari tu kanchi ketu kasije kakajimega!!
Naona ni kule tuuu.
Sio kwa kasi hiyo.
Bahima empires.

Nguvu na rasilimali yote hiyo tungeitumika kuwapeleka Vijana wa kitanzania kusoma nje ya nchi kwa maelfu kwa lengo la kujifunza ufundi na kuiba teknolojia toka huko nje baada ya miaka 10 tungekua na nchi bora zaidi.
Dunia ya leo maarifa na teknolojia ndiyo mtaji mkubwa sana.
 
kwahiyo moshi kilimanjaro mbeya na dar es salaam ndio tanzania ausio, mikoa mingine haina haki ya kujengewa uwanja wa ndege bank kama crdb na uwanja wa mpira. Pathetic. Chato nayo ni tanzania wananchi wake wana haki sawa na marangu, kawe,songwe n.k
 
😳😳😳angekuwa ana uwezo wa kusimamia mambo wafanyakazi, wakulima, wafanyabiashara nchini wangelia? Uchumi ungeporomoka? Graduates wangepiga lami mtaani kwa ukosefu wa ajira?
Suala la ajira siyo Tanzania pekee mkuu labda jambo lingine.
 
Ule uwanja wa dodoma ndio umeshapotea tunaanza mpya Chato, awamu hii ni habari za kutangaza tu mwendo mdundo.
 
Back
Top Bottom