Tetesi: Chato ukiingia au ukitoka unapimwa Corona big up mkoa wa Geita!

Status
Not open for further replies.
Kura zenyewe kwani alipata za wapiga kura basiiii? Yeye kimsingi alipata 20% lkn kina nape wakapiga goli la mkono basi jamaa akaukwaa urais bila kutarajia
 
Kama ni kupima joto tunajidanganya sana
Corona mpaka joto linapanda ni siku tatu na wengine zaidi, sasa ana Corona kabla ya joto kupanda utamjuaje
Acheni kuchezea maisha yenu
Agizeni vipimo Senegal kama mnashindwa kutengeneza vifaa vya kupimia


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Upimaji huo kwa Chato ni sawa na kufukuza upepo jangwani, Chato ina njia za ziwani ambazo hakuna bandari maalumu. Hizo nguvu ziwekwe kwa taifa zima, Kuna nini special kwa Chato?
 
Utakufa na stress tu wewe dada! Fanyakazi acha udaku!
 
Upimaji huo kwa Chato ni sawa na kufukuza upepo jangwani, Chato ina njia za ziwani ambazo hakuna bandari maalumu. Hizo nguvu ziwekwe kwa taifa zima, Kuna nini special kwa Chato?
Wewe hata uongo una uamini tu mkuu? Unaingizwa chaka unakubali?
 
Mkuu kwanza unapotosha umma!
Nimekuwa nafanya safar kupitia Chato sijaona kitu kama hicho.

Acha ubinafsi watanzania tumefikia pabaya sana hasa kwa kuanza kubaguana kimkoa,kidini,kikanda,kielimu na kisiasa!
Hili jambo halipo wana Jf. Niupotoshaji kama zilivyo taarifa zingine!
 
Hakuna mtu aliyekataza maeneo au mikoa mingine kufanya hivyo kama wanavyofanya chato, huku wilayni hata kutangaza kuwa watu wavae mask kwa lazima hawafanyi hivyo bali wanatangaza kufanya usafi ifikapo Jumamosi
 
Kupima joto sio kupima corona,,kupima corona huo uwezo kuupata Ni ngumu,,mpaka sample ziende dsm..
Njia rahisi Sana kupima Ni kwenda pale mtukula ujifanye dreva wa trans goods
 
Jiwe baada ya kuhamisha ventilator kutoka bugando kwenda chato hataki kabisa kuwaza mbele. Hapo sasa hivi anawaza uchaguzi. Nina uhakika jiwe hawezi kununua ventilators kwa ajili ya watanzania.
Jamaa ana roho ya kipekee yana( mbaya) ila TISS Mungu hayawasamehe

View attachment 1432039


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Nipo mkoa wa Kilimanjaro now ni hivyo hivyo ukifika lazma upimwe kama mkoa uliopo hawafanyi hivyo jua kuna watendaji wamelala, mkuu wa mkoa
Shekhe kupima joto ni kujidanganya tu kwani mtu akiona joto liko juu anakunywa panadol kushusha joto akifika kwenye kipimo kinasoma normal temprature....jiulize hata pale JKIA walikuwa wanapimwa lkn siku hadi siku wagonjwa walikuwa wanaongezeka sababu kuu ni hiyo kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Dar endeleeni kujifukiza kutwa mara tatu.

NB:
Mleta mada nimependa Avatar yako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…