Tetesi: Chato ukiingia au ukitoka unapimwa Corona big up mkoa wa Geita!

Status
Not open for further replies.
Ni sehemu nyingi wanapima, nenda hata stendi ya mabasi Iringa, msafiri yeyote anayeingia pale kutokea mikoani anapimwa.
 
Nani alieamzisha kubaguana kikanda na makabila? Nadhani wamjua tena huwa hapepesi macho anza na huyo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kwanini mtu ujijue unaumwa Kisha bado unasafiri?,,huo ugonjwa unataka ukiupata utulie na kuanza kufakamia misosi ya kuongeza vitamin C,,unywe maji yakutosha etc, ama la ugonjwa unatoka stage moja kwenda ingine kabla mwili haujaweza kupigana nao na kuushinda
 
Punda kufeni mkifanya kazi mille kodi kwa binadamu wa Chato
 

Attachments

  • IMG_4207.MP4
    9.6 MB

Naweza kusema wewe ndio muongo. Mimi ni shuhuda wa hili japo vipimo ni vya joto tu ambavyo hata ukipanda ferry kutoka mwanza kuelekea geita sengerema chato au kagera lazima upimwe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kwa hiyo bei ya dola 16,000 (tuseme sh 35m) inapaswa kila mkoa uwe na mashine ya kupimia COVID-19.

Kweli kabisa maana sisi wataalamu wetu walikariri vitabu ila likija suala la uvumbuzi ni zero, bora tununue tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mungu hawez kukubariki kwa staili hio, utaangamia tu, yani unabariki dhambi, kwamba ukikutana na omba omba barabarani mmoja ni wa kabila lako, mwingine ni kabila lingine, utamsaidia wa kabila lako sababu ametoka mkoa mmoja na wewe, huuyo mwingine utamwacha afe sababu sio wa "kwenu"
Hata ningekuwa mimi watu wangu wangekuwa ni kipaumbele katika kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
halafu mikoa mingine anasema acha wachape kazi. Anawalinda ndugu zake. Mitanzania tulivyo hovyo tunashangilia!
 
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…