Black, Senegal imeizidi dunia ya USA na western Europe? Great! Ebu nipe wamegundua nini na kwa vipi? wameweza ku-raise antibodies vs the virus, wakaz-validate, wakazi -test and kuzi deploy! Great!Agizeni vipimo Senegal kama mnashindwa kutengeneza vifaa vya kupimia
Western africa ndyo inaongoza kwa scammers dunia nzima. Majamaa wale matapeli ni hatari. Mtandaoni wanauza mask za n95. Wamewaibia watu vibya sanaBlack, Senegal imeizidi dunia ya USA na western Europe? Great! Ebu nipe wamegundua nini na kwa vipi? wameweza ku-raise antibodies vs the virus, wakaz-validate, wakazi -test and kuzi deploy! Great!
Hearadius kidogo haya mambo ya immunology nayajua kidogo. Si rahisi kuwa scammer wa high tech kama hii! Si rahisi ku raise virus kwenye say mouse, rats, cell lines etc (virus ni intracellular, ukazi purify, ukazi validate etc etc etc etc etc! Anyway kama wameweza kirahisi hivyo, basi ni hatua kubwa!Western africa ndyo inaongoza kwa scammers dunia nzima. Majamaa wale matapeli ni hatari. Mtandaoni wanauza mask za n95. Wamewaibia watu vibya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Black, Senegal imeizidi dunia ya USA na western Europe? Great! Ebu nipe wamegundua nini na kwa vipi? wameweza ku-raise antibodies vs the virus, wakaz-validate, wakazi -test and kuzi deploy! Great!
Labda hujaniekewa. Inshort kuna malakamiko mitandaoni kuwa kunamatapeli waliopo western africa wanaouza mask ba vifaa mbali mbali vya kupima na kupambana na corona. Watu wameishaibiwa na hawa watu. Mtu anaplace order kubwa then wanapotea.Hearadius kidogo haya mambo ya immunology nayajua kidogo. Si rahisi kuwa scammer wa high tech kama hii! Si rahisi ku raise virus kwenye say mouse, rats, cell lines etc (virus ni intracellular, ukazi purify, ukazi validate etc etc etc etc etc! Anyway kama wameweza kirahisi hivyo, basi ni hatua kubwa!
Hearadius kidogo haya mambo ya immunology nayajua kidogo. Si rahisi kuwa scammer wa high tech kama hii! Si rahisi ku raise virus kwenye say mouse, rats, cell lines etc (virus ni intracellular, ukazi purify, ukazi validate etc etc etc etc etc! Anyway kama wameweza kirahisi hivyo, basi ni hatua kubwa!
CHATO SI MKOA, ni ka-kitongoji kanakolazimishwa kawe mji, pale walau mjo mkubwa ni KATORO ila JIWE kaona waluga luga hawaelewi kafanya chato kuwa kama makao makuu but am telling you , chato na ka mji kama Ilula hakuna tofauti.Chato wameweka simple lockdown ukiingia au ukitoka lazima upimwe Corona
Yaani chato ukaguzi unafanyika kila wakati watu wanapimwa kila waingiapo ndani ya hicho kijiji ambacho ni kama mkoa wenye green light japo mara nyingi huongezea punda tu maana chato umasikini ni mkubwa sana
Kwanini miji yote isiwe sawa tu? Why chato papendelewe kiasi hicho?Japo ni uamuzi mzuri ila ilitakiwa iwe imefanywa nchi yote maana Tanzania yote sisi ni sawa na hiyo italeta taharuki ya ukabila na ukanda
Sent using Jamii Forums mobile app
tuliambia maiti zitaanza kuokotwa mitaani kama kuku wa kideri.
Kesho kutwa mwezi wa 5.
KWELI MUNGU HAPANGIWI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi kufikia kuku wa kideri
Ingawa Kariakoo ipo moja imetelekezwa tangu jana.
Soma hii , inawezekana ni sehemu au collaaboration kubwa na France Pasteur InstituteHapana mkuu sio kuwa imezizidi mataifa mengine hapana
Unaweza kusoma hata Al Jazeera walionyesha
Sent from my iPhone using Tapatalk
OK thanks nimekupata sasa.Labda hujaniekewa. Inshort kuna malakamiko mitandaoni kuwa kunamatapeli waliopo western africa wanaouza mask ba vifaa mbali mbali vya kupima na kupambana na corona. Watu wameishaibiwa na hawa watu. Mtu anaplace order kubwa then wanapotea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks a lot! Maana watu walikuwa wana convey information kuwa nini sisi peke yetu Senegal tumeachieve that milestone in corona testing RDT!Hii kidogo nimeipiga picha
View attachment 1432226
Eti bichwa Komwe#Hashtag kamanda Nyakoro Siro#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Wanapimwa joto si corona.
Wanajifariji kipumbavu, wakija kuhtuka bichwakomwe anao[emoji16][emoji16]